-
Rais Raisi: Marekani imehusika katika vitendo vya kikanda vya hujuma, mauaji na ghasia
Oct 17, 2022 01:34Rais Ebrahim Raisi wa Iran amelaani vikali uungaji mkono wa Marekani kwa machafuko ya hivi karibuni nchini Iran, akisema mikono ya Marekani inaonekana wazi katika vitendo vingi vya hujuma, mauaji na ghasia katika eneo.
-
Iran yamkosoa Biden kwa kuunga mkono, kushajiisha ghasia hapa nchini
Oct 16, 2022 07:54Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani vikali hatua ya Marekani ya kuingilia masuala ya ndani ya Jamhuri ya Kiislamu, baada ya Rais Joe Biden wa nchi hiyo kutangaza kuwa anaunga mkono ghasia na fujo zinazoshuhudia hapa nchini.
-
Meja Jenerali Baqeri: Iran haitastahamili kuwepo maelfu ya magaidi kwenye mipaka yake
Oct 16, 2022 04:24Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran ameapa kuwa Jamhuri ya Kiislamu itaendeleza operesheni zake za kujihami dhidi ya makundi ya kigaidi yanayotaka kujitenga yanayoungwa mkono na Marekani na Israel yaliyoko karibu na mpaka wa kaskazini magharibi mwa katika eneo la Kurdistan nchini Iraq.
-
Ebrahim Raisi: Utambulisho wa kiutamaduni ndilo chimbuko la nguvu za taifa la Iran
Oct 15, 2022 07:59Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, utambulisho wa kiutamaduni ndilo chimbuko la nguvu za taifa hili la Kiislamu.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la udharura wa kuwepo umoja wa Umma wa Kiislamu
Oct 15, 2022 04:40Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, amehutubia hadhara ya viongozi wa serikali na wageni wanaoshiriki katika Mkutano wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu, ambapo ameutaja umoja na mshikamano kuwa ni hitajio muhimu zaidi la Umma wa Kiislamu kwa ajili ya kuwa na nafasi muhimu na ya juu katika muundo mpya wa dunia ya leo.
-
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran: Baadhi ya wafanyaghasia walipewa mafunzo nje ya nchi
Oct 15, 2022 01:01Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran amesema kuwa baadhi ya watu waliohusika na ghasia za hivi karibuni hapa nchini walipewa mafunzo nje ya nchi, na mara kwa mara waliwekewa fedha kwenye akaunti zao.
-
Kukiri Marekani kuwa inahusika katika kuchochea ghasia na machafuko nchini Iran
Oct 15, 2022 00:10Ned Price, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, amekiri kwamba utawala wa Joe Biden sasa umejikita kwenye machafuko na ghasia nchini Iran huku akiiishutumu Tehran kuwa haiko tayari kufikia muafaka kuhusu kuhuisha mapatano ya nyuklia ya JCPOA. Mbali na kukiri huko, imekuwa ikifahamika wazi kimataifa kuwa Marekani inaingilia masuala ya ndani ya Iran.
-
Kiongozi wa Mapinduzi: Amekosea mtu anayedhani anaweza kung'oa mti imara wa Jamhuri ya Kiislamu
Oct 14, 2022 10:11Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu hautasalimu amri mbele ya madola yenye nguvu na kusisitiza kuwa: Jamhuri ya Kiislamu hivi sasa imekuwa mti imara uliostawi ambao ni muhali hata kufirikia kwamba unaweza kung'olewa.
-
Iran na baadhi ya mataifa ya Kiislamu yasherehekea Maulidi ya Mtume na mjukuu wake, Imam Swadiq (as)
Oct 14, 2022 10:07Waislamu wa Iran na baadhi ya nchi za Kiislamu leo Ijumaa inayosadifiana na tarehe 17 Mfunguo Sita Rabiul Awwal wanaadhimisha Maulidi na kumbukumbu ya kuzaliwa mbora wa viumbe, Mtume Muhammad (saw) pamoja na mjukuu wake, Imam Ja'afar bin Muhammad al-Swadiq (as).
-
Raisi: Sababu ya chuki ya adui dhidi ya taifa la Iran ni maendeleo ya kushangaza
Oct 14, 2022 10:07Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema sababu ya chuki ya adui dhidi ya taifa la Iran ni maendeleo ya kushangaza na ya pande zote ya Jamhuri ya Kiislamu.