-
Iran: Kama US inapigania kweli haki za binadamu, iache kuwasaidia magaidi
Oct 14, 2022 04:20Ofisi ya Uwakilishi wa Kudumu ya Iran katika Umoja wa Mataifa imesema iwapo Marekani inataka kupambana kwa dhati na ugaidi, sharti iachane na tabia yake ya kuunga mkono makundi ya kigaidi kama lile la Kumalah.
-
Raisi: Uingiliaji wa maajinabi hauwezi kutatua matatizo ya Asia Magharibi
Oct 13, 2022 23:45Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa uingiliaji wa madola ya Magharibi katika masuala ya ndani ya nchi za Asia Magharibi na kusisitiza kuwa, uingiliaji huo kamwe hauwezi kuwa suluhu ya matatizo na changamoto za eneo hili.
-
Kiongozi Muadhamu atangaza msamaha kwa wafungwa kwa mnasaba wa Maulidi ya Mtume (SAW)
Oct 13, 2022 08:16Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameidhinisha pendekezo la kuachiwa huru au kupunguziwa vifungo wafungwa karibu 2,000 wa Kiirani, kwa mnasaba wa maadhimisho ya Maulidi ya Mtume (SAW) na kumbukumu ya mazazi ya Imam wa Ja'afar Swadiq (AS).
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Kusimama imara; njia ya kukabiliana na maadui
Oct 13, 2022 08:14Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametaja ghasia na machafuko yaliyoenea katika maeneo mbalimbali hapa nchini kuwa ni mpango usio wa kawaida na wa fedheha wa adui mkabala wa maendeleo na harakati za ubunifu na kubwa za taifa la Iran na kwamba, njia ya kukabiliana na maadui ni kusimama imara.
-
Meja Jenerali Salami: Ubeberu upo katika hali ya kuporomoka
Oct 13, 2022 08:10Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) ameashiria wimbi la kushindwa na kupata vipigo ubeberu kufuatia Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kusisitiza kuwa, uistikbari upo katika hali ya kuporomoka.
-
Raisi: Dunia ya leo inahitaji zaidi mchango athirifu wa ubunifu wa kikanda kuliko wakati wowote ule
Oct 13, 2022 04:37Rais Ebrahim Raisi amesema dunia ya leo inahitaji kuliko wakati wowote ule mchango athirifu na madhubuti wa taratibu zinazobuniwa kikanda.
-
Iran: Diplomasia haikukomesha uwepo wa magaidi Iraq, tumelazimika kuushughulikia kijeshi
Oct 12, 2022 23:47Ofisi ya uwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa imemwandikia barua Rais wa Baraza la Usalama la umoja huo kubainisha hoja na sababu ya kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya makundi ya kigaidi yaliyoko nchini Iraq na kusisitiza kuwa diplomasia haikuweza kukomesha kuwepo kwa magaidi kaskazini ya nchi hiyo na ndio maana Iran imelazimika kutumia nguvu za kijeshi.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi: Njia ya kukabiliana na maadui ni kusimama imara
Oct 12, 2022 08:49Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametaja ghasia na machafuko yaliyoenea katika maeneo mbalimbali hapa nchini kuwa ni mpango usio wa kawaida na wa fedheha wa adui mkabala wa maendeleo na harakati za ubunifu na kubwa za taifa la Iran na kwamba njia ya kukabiliana na maadui ni kusimama imara.
-
Uingereza na kuendelea kuingilia masuala ya ndani ya Iran
Oct 12, 2022 05:26Balozi wa Uingereza nchini Iran ameitwa kwa mara ya tatu kwenda kusailiwa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu na hiyo ni katika kipindi cha wiki tatu tu zilizopita. Hii ni kutokana na Uingereza kujitia kwenye uraibu wa kuiwekea vikwazo vya kiholela Iran. Tehran inasema, ina haki ya kulipiza kisasi siasa hizo za kiibeberu za London.
-
Mkutano wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu waanza Tehran, Raisi asema, mapambano ndio njia ya kukomboa Palestina
Oct 12, 2022 04:48Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameutaja muqawama na mapambano kuwa ndiyo njia ya kuikomboa Palestina. Rais Ebrahim Raisi ameyasema hayo mapema leo Katika ufunguzi wa Mkutano wa 36 wa Kimataifa la Umoja wa Kiislamu unaofanyika mjini Tehran.