-
Msemaji wa Serikali Iran: Dawa za Mahsa Amini zilikosekana Iran kutokana na vikwazo
Oct 11, 2022 22:57Msemaji wa Serikali ya Iran amesema kuwa, dawa za Mahsa Amini zilikosa kuingia Iran kutokana na vikwazo.
-
Makundi ya kigaidi yapatayo himaya ya kigeni yamehusika na ghasia Iran
Oct 11, 2022 11:03Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran Ahmad Vahidi amesema kuwa makundi ya kigaidi yenye makao kaskazini mwa Iraq na yanayoungwa mkono na mataifa ya kigeni yamekuwa yakichochea ghasia nchini Iran ili kuzusha uasi na kuanza kujitenga baadhi ya maeneo ya nchi.
-
Jeshi la Anga la Iran lina uwezo wa kujibu haraka tishio lolote la adui
Oct 11, 2022 08:29Kamanda mwandamizi wa Jeshi la Iran amesema Kikosi cha Anga cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu kina uwezo wa kufuatilia na kujibu kitisho au chokochoko zozote za maadui katika eneo hili ndani ya muda mfupi.
-
Rais Raisi: Usalama na uwezo wa Iran unategemea kusimama imara wananchi
Oct 11, 2022 04:35Rais Ebrahim Raisi amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na familia ya Shahidi mlinzi wa usalama wa nchi na kueleza kwamba usalama na uwezo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran unategemea kusimama imara wananchi na juhudi kubwa za maelfu ya Mashahidi, na akasisitizia umuhimu wa watu wote kuilinda na kuienzi rasilimali hiyo ya taifa.
-
Kan'ani: Iran ingali inataka kuhuisha mapatano ya nyuklia
Oct 10, 2022 22:57Iran imetangaza azma yake ya kuendelea na mazungumzo yenye lengo la kufikia muafaka kuhusu kuhuisha mapatano ya nyuklia ya JCPOA ya mwaka 2015.
-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Vikwazo vya michezo vinakadhibisha madai ya Wamagharibi
Oct 10, 2022 07:10Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amevitaja vikwazo vya michezo baada ya kuanza vita vya Ukraine kuwa vinakadhibisha madai ya waistikbari na wafuasi wao kuhusu kutoingizwa siasa katika michezo.
-
Mwanasosholojia wa Uingereza: Mashirika ya kigaidi ya kigeni yamehusika katika machafuko nchini Iran
Oct 10, 2022 07:09Mwanasosholojia wa Uingereza amesema anaamini kuwa mashirika ya kigeni ya kigaidi yenye historia ya kuzusha ghasia yamehusika katika machafuko ya hivi karibuni nchini Iran.
-
Abdollahian: Iran haijaupa silaha upande wowote wa vita vya Ukraine
Oct 10, 2022 04:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, msimamo mkuu na wa asili wa Jamhuri ya Kiislamu ni kupinga kupewa silaha upande wowote katika vita vinavyoendelea nchini Ukraine.
-
Iran: Magharibi inalipiza kisasi kwa kuwaua kwa umati wagonjwa Wairani
Oct 10, 2022 03:58Msemaji wa Serikali ya Iran amelaani vikwazo shadidi vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu na kueleza kuwa, "Wamagharibi wanalipiza kisasi dhidi ya Wairani, kwa kuanzisha kampeni ya mauji ya kimbari dhidi ya wagonjwa wa nchi hii."
-
Ebrahim Raisi: Adui amepata pigo kutokana na ustawi na maendeleo ya Iran
Oct 09, 2022 23:20Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria ustawi wa kiuchumi iliopata Iran hivi karibuni na kusema kuwa, adui amepata pigo kutokana na jitihada na kazi kubwa inayoendelea kufanyika humu nchini kwa ajili ya ustawi na maendeleo na ndio maana anafanya kila awezalo kuhakikisha anakwamisha jitihada hizo.