-
Mashambulizi dhidi ya ofisi za kidiplomasia za Iran huko Ulaya; haja ya serikali mwenyeji kutekeleza Mkataba wa Vienna
Oct 09, 2022 23:15Katika siku za hivi karibuni kumeshuhudiwa mashambulio dhidi ya maeneo na ofisi za kidiplomasia za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran barani Ulaya, jambo ambalo limekabiliwa na jibu kali la serikali ya Tehran iliyowaita mabalozi wa baadhi ya nchi za Ulaya mjini Tehran kwa ajili ya kuwasaili.
-
Mkutano wa 36 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu kufanyika Tehran
Oct 09, 2022 10:55Mkutano wa 36 wa kimataifa wa Umoja wa Kiislamu unatarajiwa kufanyika wiki ijayo hapa jijini Tehran kwa kuhudhuriwa na makumi ya shakhsia wa kidini wa ndani na nje ya nchi kwa mnasaba wa maadhimisho ya Wiki ya Umoja.
-
Qalibaf: Siri ya ushindi wa Iran ya Kiislamu ni umoja baina ya Mashia na Masuni
Oct 09, 2022 04:40Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa siri ya ushindi wa nchi hii katika sekta mbalimbali ni kuwepo umoja baina ya Masuni na Mashia na kusisitiza kuwa, Waislamu wa Kisuni na pia wa Kishia waliifanya Iran kuwa imara zaidi na yenye nguvu wakati wa kujihami kutakatifu na katika matukio ya ndani kupitia umoja na dhamira yao thabiti.
-
Shambulio katika ubalozi wa Iran laonyesha uungaji mkono wa Magharibi kwa wafanya ghasia
Oct 08, 2022 07:47Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran sanjari na kulaani shambulio lililofanywa dhidi ya ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Denmark amesisitiza kuwa, hujuma hiyo inaonyesha wazi uungaji mkono wa kisiasa wa Wamagharibi kwa wafanya ghasia.
-
Iran: Vikwazo ndio chachu kuu ya haki za binadamu za Kimarekani
Oct 08, 2022 04:44Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, kwa miaka mingi wananchi wa Iran wamekuwa wakipapatuana na vikwazo vya kidhalimu vya Marekani na akabainisha kuwa: vikwazo ndio chachu kuu ya haki za binadamu za Kimarekani.
-
Idara ya Uchunguzi wa Sababu za Vifo Iran yatoa taarifa kuhusu kifo cha Mahsa Amini
Oct 07, 2022 23:50Idara ya uchunguzi wa sababu za vifo imetoa taarifa inayoeleza kwamba kifo cha msichana Mahsa Amini kimesababishwa na tatizo la kupungua kiwango cha oksijeni inayosambaa kwenye ubongo linalojulikana kitaalamu kama "Cerebral Hypoxia".
-
Balozi wa Denmark aitwa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran
Oct 07, 2022 23:34Balozi wa Denmark mjini Tehran ameitwa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kufuatia shambulio lililofanywa dhidi ya ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Denmark na mshambuliaji aliyekuwa amebeba silaha baridi.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Ubeberu, Marekani, Uzayuni na Ukufurishaji zinapigana vita na haki na uadilifu visivyosuluhishika
Oct 07, 2022 08:18Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya mjini Tehran amesisitiza kuwa: Uimwengu wa Ubeberu, Ulimwengu wa Uistikbari, Marekani, Uzayuni na kambi Ukufurushaji, zinapigana vita dhidi ya na haki na uadilifu visivyosuluhishika.
-
Onyo la Iran kwa Umoja wa Ulaya
Oct 07, 2022 07:27Hossein Amir Abdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jumatano alifanya mazungumzo kwa njia ya simu na Josep Borrell, mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya.
-
Amir-Abdollahian: Wafanya ghasia, magaidi Iran walijaribu kuteka nyara maandamano ya amani
Oct 07, 2022 04:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian anawashutumu waibua ghasia na magaidi waliojaribu kuteka nyara maandamano ya amani ya hivi majuzi ili kuzusha machafuko kote nchini.