-
Amir-Abdollahian: Afrika ni moja ya vipaumbele vikuu vya diplomasia ya kiuchumi ya Iran
Aug 25, 2022 06:54Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran aliyeko ziarani nchini Tanzania amesema kuwa, bara la Afrika ni moja ya vipaumbele vikuu vya diplomasia ya kiuchumi ya Iran.
-
Iran kuunda ndege ya abiria ya viti 50 karibuni
Aug 24, 2022 23:11Mkuu wa Shirika la Uchukuzi wa Anga la Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu imeandaa mikakati ya kuzalisha ndege yake ya abiria karibuni hivi.
-
Kan'ani: Iran imepokea jibu la Marekani
Aug 24, 2022 22:52Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza kuwa Iran imepokea jibu la serikali ya Marekani kuhusu mitazamo ya Iran kuhusu kutatua masuala yaliyosalia katika mazungumzo ya kuondoa vikwazo.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aelekea Tanzania akitokea nchini Mali
Aug 24, 2022 10:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo Jumatano ameelekea nchini Tanzania baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi katika nchi ya Mali ya Magharibi mwa Afrika.
-
Iran yapongeza juhudi za nchi ya Mali za kupambana na makundi ya Kigaidi
Aug 24, 2022 03:35Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran aliyeko safarini Bamako mji mkuu wa Mali ameipongeza nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika kwa juhudi zake kubwa za kupambana na makundi ya kigaidi.
-
Iran: Israel inapaswa kuharibu silaha zake za nyuklia na ijiunge na NPT
Aug 23, 2022 23:50Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ameutaka utawala wa Kizayuni wa Israel uharibu silaha zake za nyuklia na ujiunge haraka na Mkataba za Kuzuia Uzalishaji na Usambazaji wa Silaha za Nyuklia (NPT).
-
Jeshi la Iran kufanya maneva ya kijeshi ya droni
Aug 23, 2022 23:48Jeshi la Iran leo Jumatano linatazamiwa kuzindua luteka ya kijeshi itakayohusisha ndege zisizo na rubani (droni).
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran awasali nchini Mali na kuonana na wenyeji wake
Aug 23, 2022 06:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anaendelea na ziara yake ya kuzitembelea nchi za Afrika na tayari ameanza mazungumzo na viongozi wa Mali akiwemo Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Safari ya kwanza ya Amir-Abdollahian barani Afrika; azma ya Iran ya kupanua uhusiano
Aug 23, 2022 04:46Hussein Amir-Abdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jumatatu ya jana aliondoka hapa mjini Tehran na kuelekea Bamako mji mkuu wa Mali, hii ikiwa ni safarii yake ya kwanza barani Afrika tangu alipoteuliwa kuchukua wadhifa huo.
-
Rais Raisi: Imam Khomeini (MA) aliwaamini wananchi
Aug 23, 2022 03:41Rais Ebrahim Raisi amesema, mtazamo wa Imam Khomeini (MA) kwa wananchi haukuwa mtazamo wa kiheshima tu, kwa sababu aliwaamini kiudhati wananchi na akisisitiza kuwa kutokana na imani juu ya Mwenyezi Mungu, kuwatumikia wananchi kunamfanya mtu awe karibu na Yeye Mola.