-
Rais Raisi: Imam Khomeini (MA) aliwaamini wananchi
Aug 23, 2022 03:41Rais Ebrahim Raisi amesema, mtazamo wa Imam Khomeini (MA) kwa wananchi haukuwa mtazamo wa kiheshima tu, kwa sababu aliwaamini kiudhati wananchi na akisisitiza kuwa kutokana na imani juu ya Mwenyezi Mungu, kuwatumikia wananchi kunamfanya mtu awe karibu na Yeye Mola.
-
Jenerali Hajizadeh: Leo tunauza nje ya nchi makombora na ndege zisizo na rubani
Aug 23, 2022 03:31Kamanda wa Kikosi cha Anga za Mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC amesema: "huko nyuma, sisi hatukuwa na wowote kati ya uwezo tulionao leo hii, na hivi sasa tunauza nje ya nchi makombora na ndege zisizo na rubani.
-
Rais Ebarahim Raisi: Iran ni tumaini la wanyonge na majuto kwa mabeberu
Aug 22, 2022 20:55Rais Ebrahim Raisi amesema kuwa, licha ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa chini ya mashinikizo makubwa ya kila upande kwa makumi ya miaka sasa, lakini vijana wa nchi hii wakiwemo wa sekta ya ulinzi wamepiga hatua kubwa ya kujivunia.
-
Iran: Hatujapokea jibu la US kuhusu mapendekezo ya Ulaya
Aug 22, 2022 06:50Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu haijapokea majibu kutoka kwa Marekani juu ya mapendekezo yaliyotolewa na Umoja wa Ulaya kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Salami: Hujuma dhidi ya nafsi na akili, stratejia hatari ya adui
Aug 21, 2022 23:53Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ametahadharisha kuwa, stratejia hatari zaidi ambayo adui ameamua kutumia ni vita vya kinafasi na kisaikolojia.
-
Ibrahim Raeisi: Hakuna mazungumzo yoyote yatakayoifanya Iran ilegeze msimamo katika haki zake
Aug 21, 2022 06:47Rais Ibrahim Raeisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hakuna kikao au mazungumzo yoyote yale ambayo yatalifanya taifa hili lilegeze kamba na kufumbia macho haki zake.
-
Iran: Misikiti yote itaendelea kuwa vituo vya muqawama hadi ardhi zote za Palestina zitakapokombolewa
Aug 21, 2022 02:29Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiisalmu ya Iran amesema kuwa, Misikiti yote duniani itaendelea kuwa vituo vya muqawama dhidi ya utawala wa Kizayuni hadi zitakapokombolewa ardhi zote za Palestina.
-
Jenerali Ramezan Sharif: Leo adui hathubutu kutoa vitisho dhidi ya Iran
Aug 20, 2022 22:33Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema, kutokana na nguvu wa uwezo vilionao vikosi vya ulinzi vya Iran, leo adui hathubutu kutoa vitisho dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Momeni: Iran inaongoza nchi zote duniani kwa kukamata madawa ya kulevya
Aug 20, 2022 05:38Katibu Mkuu wa Kamati ya Kupambana na Madawa ya Kulevya ya Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ndiyo nchi inayokamata kiwango kikubwa zaidi cha mihadarati na madawa ya kulevya duniani.
-
Salami: Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan umo mbioni kujizatiti kwa silaha dhidi ya Wazayuni
Aug 20, 2022 00:05Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) amesema kuwa, mapambano dhidi ya utawala haramu wa Israel yamefika hadi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kuongeza kuwa, hivi sasa eneo hilo limo mbioni kujizatiti kwa silaha kwa ajili ya kukabiliana na Wazayuni maghasibu.