-
Iran yatoa pongezi kufuatia kufanyika uchaguzi wenye mafanikio Kenya
Aug 19, 2022 23:21Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepongeza wananchi na serikali ya Kenya kwa kufanyika kwa mafanakio uchaguzi wa rais wa nchi hiyo.
-
Abu Turabi Fard: Mateka wa vita wa Iran walizigeuza kambi za Kibaathi madrasa za mafunzo ya Ashura
Aug 19, 2022 08:35Imamu wa muda wa Sala ya Ijumaa ya Tehran amesema, kwa muda wote walipokuwa wakishikiliwa mateka, mateka wa kivita wa Iran walizigeuza kambi za Kibaathi madrasa za mafunzo na mafundisho ya Ashura.
-
Iran yalaani hujuma ya kigaidi iliyoua makumi msikitini Kabul
Aug 18, 2022 23:35Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani shambulio la kigaidi lililopelekea kuuawa makumi ya watu katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.
-
Kufanyika kikao cha Kamisheni ya Pamoja ya Kiuchumi ya Iran na Pakistan mjini Islamabad
Aug 18, 2022 03:52Kikao cha 21 cha Kamisheni ya Pamoja ya Kiuchumi ya Iran na Pakistan kilianza Jumatano ya jana katika mji mkuu wa Pakistan Islamabad ambapo ujumbe wa Iran katika kikao hicho unaongozwa na Rostam Qassemi, Waziri wa Barabara na Ujenzi wa Miji.
-
Mamilioni ya watoto kupata chanjo ya Malaria
Aug 18, 2022 03:28Kampuni ya kutengenza dawa za binadamu ya GSK imepatiwa kandarasi ya kuzalisha chanjo ya kwanza ya Malaria duniani lengo likiwa ni kulinda mamilioni ya watoto dhidi ya ugonjwa huo unaopelekea mamilioni ya watoto kupoteza maisha, limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF.
-
Iran yaitaka Marekani kutekeleza makubaliano ya kubadilishana wafungwa, iwaachilie Wairani
Aug 18, 2022 03:08Iran imeelezea utayari wake wa utekelezaji wa haraka wa makubaliano ya kubadilishana wafungwa na Marekani huku ikiitaka Washington kuwaachia huru Wairani waliofungwa nchini Marekani bila ya kulifungamanisha suala hilo na masuala yasiyo na umuhimu.
-
Harakati ya Jihad Islami kuendeleza mapambano hadi ukombozi kamili wa Palestina
Aug 17, 2022 23:13Afisa wa harakati ya mapambano ya Jihad Islami ya Palestina amesema mapambano na muqawama dhidi ya utawala vamizi na ghasibu wa Israel yataendelea hadi ukombozi wa ardhi zote za Palestina.
-
Qalibaf: Marekani ingali inafuatilia sera za ubeberu dhidi ya Iran
Aug 17, 2022 07:57Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema Marekani ya leo, ndiyo ile ile ya huko nyuma ya wakati wa mapinduzi ya serikali Iran ya mwaka 1953 (Mapinduzi ya Mordad 28).
-
Jibu la Iran kwa rasimu iliyopendekezwa na Umoja wa Ulaya
Aug 17, 2022 04:45Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekabidhi kwa mratibu wa Umoja wa Ulaya katika mazungumzo ya uondoaji vikwazo jibu la maandishi kuhusiana na nakala rasmi ya rasimu ya mapatano ya Vienna.
-
Velayati: China ni muitifaki wa Kiistratijia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Aug 17, 2022 02:46Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, China ni muitifaki wa kiistratijia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.