-
Apartheid (ubaguzi) ya nyuklia ya Magharibi kuhusu Iran na utawala haramu wa Israel
Jun 12, 2022 22:42Utafiti linganishi wa utendaji wa jamii ya kimataifa, na hasa wa nchi za Magharibi, kuhusiana na shughuli za nyuklia za Iran na utawala haramu wa Israel, unaonyesha dhihirisho jingine la ubaguzi wa nyuklia unaofanywa na nchi hizo dhidi ya mataifa mengine na hasa yale yaliyo na sera huru duniani.
-
Spika wa Bunge la Iran: Azimio la Bodi ya Magavana ya IAEA siyo kwa faida ya mazungumzo
Jun 12, 2022 06:09Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, azimio dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu katika Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) limepuuza ushirikiano mzuri na wa kujitolea wa Iran kwa wakala huo na hatua hiyo haina maslahi kwa mazuingumzo ya nyuklia..
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu kuwa mapambano ndio njia pekee ya kufikia ushindi dhidi ya Marekani
Jun 12, 2022 04:33Akizungumza jana Jumamosi alasiri katika kikao na Rais Nicolas Maduro wa Venezuela na ujumbe alioandamana nao, Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya kusimama imara Iran na Venezuela mbele ya mashinikizo makali na vita vya pande kadhaa vya Marekani na kusisitiza: Uzoefu wa mafanikio wa nchi mbili unaonyesha kwamba njia pekee ya kukabiliana na mashinikizo hayo ni mapambano na kusimamam imara.
-
Kundi la kwanza la mahujaji wa Kiirani laondoka nchini kwenda Saudia
Jun 12, 2022 03:27Kundi la kwanza la wananchi wa Iran wanaokwenda kutekeleza ibada tukufu ya Hija limeondoka nchini mapema leo Jumapili kwenda katika mji mtukufu wa Madina nchini Saudi Arabia.
-
Abdollahian: Azimio la IAEA dhidi ya Iran lilichochewa kisiasa
Jun 12, 2022 03:26Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amezikosoa vikali Marekani na nchi tatu za Ulaya za Uingereza, Ufaransa na Ujerumani, kwa kuwasilisha azimio dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu mbele ya Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA.
-
Abdollahian: Iran haina vizingiti katika kukuza ushirikiano wake na Nigeria
Jun 12, 2022 00:14Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran haina vizingiti vyovyote katika njia ya kustawisha uhusiano wake na Nigeria.
-
Kiongozi Muadhamu: Muqawama ndio njia pekee ya kuzima mashinikizo ya Marekani
Jun 11, 2022 22:57Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema uzoefu wenye mafanikio wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Venezuela katika kupambana na vikwazo vya Marekani umedhihirisha wazi kuwa, muqawama ndio njia pekee ya kuzima mashinikizo ya namna hiyo.
-
Iran yakosoa shambulio la Israel dhidi ya Damascus, mji mkuu wa Syria
Jun 11, 2022 05:48Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amelaani hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kufanya shambulio dhidi ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Damascus, mji mkuu wa Syria na kusisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu itaendelea kuliunga mkono taifa hilo la Kiarabu.
-
Nigeria: Ulimwengu wa Kiislamu ushikamane kuangamiza fikra ya ukufurishaji
Jun 11, 2022 02:57Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Nigeria amesema kuwa, nchi za Kiislamu na Waislamu wote kwa ujumla wanapaswa kuungana na kuwa kitu kimoja katika vita vya kuangamiza fikra potofu ya ukufurishaji.
-
Maduro: Iran na Venezuela ziko mstari wa mbele kupambana na madola ya kibeberu
Jun 11, 2022 02:56Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amesema kuwa, nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndizo nchi zilizoko mstari wa mbele katika kupambana na ubeberu na uistikbari duniani kutokana na kuwa lengo lao ni moja.