-
Rais Maduro wa Venezuela aitembelea Iran kwa ziara ya siku 2
Jun 10, 2022 22:10Rais Nicolas Maduro wa Venezuela aliwasili hapa Tehran jana Ijumaa kwa safari rasmi ya kikazi ya siku mbili ya kuitembelea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Iran na Venezuela zasaini makubaliano ya ushirikiano ya miaka 20
Jun 11, 2022 06:46Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na mwenzake wa Venezuela, Nicolas Maduro wamesaini makubaliano ya kuimarisha ushirikiano ya miaka 20, yenye lengo la kupiga jeki uhusiano wa nchi mbili hizi katika nyuga mbalimbali.
-
Ayatullah Khatami: Lengo la azimio la IAEA dhidi ya Iran ni kutaka pointi katika mazungumzo
Jun 10, 2022 06:56Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, lengo la Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) la kupasisha azimio dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kutaka pointi na upendeleo katika mazungumzo.
-
Rais Raisi: Hakuna mtu yeyote wa kulihutubu taifa la Iran kwa lugha ya ubabe
Jun 10, 2022 03:29Rais Ebrahim Raisi amesema kupitishwa azimio dhidi ya Iran katika Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA kumechochewa na utawala wa Kizayuni wa Israel na akasisitiza kwamba hakuna mtu yeyote wa kulihutubu taifa la Iran kwa lugha ya ubabe.
-
Rais Raisi: Hatutarudi hata hatua moja nyuma katika msimamo wetu
Jun 09, 2022 22:28Rais Ebrahim Raisi amesema Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA imepitisha azimio dhidi ya Iran lakini amesisitiza kwa kusema: "hata hivyo hatutarudi hata hatua moja nyuma katika msimamo wetu."
-
Iran: Tutatoa jibu madhubuti kwa azimio la US, EU lililopasishwa na IAEA dhidi yetu
Jun 09, 2022 18:52Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani kitendo cha Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA cha kupasisha azimio dhidi ya Tehran na kusisitiza kuwa, taifa hili litatoa jibu mwafaka na madhubuti kwa hatua hiyo.
-
Nasaha za Kiongozi Muadhamu kuhusu Umoja wa Waislamu na kujiepusha kuwa na uhusiano na Israel
Jun 09, 2022 07:24Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu sambamba na kubainisha kuwa, Wazayuni ndio janga la haraka la ulimwengu wa Kiislamu amebainisha kwamba, utawala wa Kizayuni wa Israel unazitumia vibaya tawala ambazo zimechukua mkondo wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na Tel Aviv.
-
Rais Ebrahim Raisi: Nchi huru zishirikiane ili kusambaratisha vikwazo vya mabeberu
Jun 09, 2022 02:45Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ushirikiano baina ya nchi huru katika kudhamini mahitaji yao ya pamoja kieneo na kimataifa ni jambo muhimu sana na ndiyo njia ya kusambaratisha mashinikizo ya madola yanayopenda kuziwekea vikwazo nchi nyingine.
-
Baada ya Tehran kuzuia meli za Ugiriki, mahakama ya nchi hiyo yaifutia Marekani ruhusa ya kusimamisha meli ya Iran
Jun 09, 2022 02:44Mahakama nchini Ugiriki imefuta hukumu iliyokuwa imeiruhusu Marekani kusimamisha meli ya mafuta ya Iran katika ufukwe wa Ugiriki.
-
Iran yajibu kitendo cha IAEA cha kupasisha azimio lililo dhidi ya Tehran
Jun 08, 2022 22:38Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema kuwa, Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA imetoa azimio dhidi ya Tehran kwa kutegemea ripoti za uongo na kwa matamshi yasiyo ya kiutaalamu ya mkurugenzi mkuu wa wakala huo.