-
Kiongozi Muadhamu asisitiza udharura wa kustawishwa nishati safi
Mar 06, 2022 08:19Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza juu ya udharura wa kustawishwa nishati safi.
-
Wizara ya Ulinzi ya Iran yazindua aina 10 mpya za zana za kijeshi
Mar 06, 2022 00:53Aina kumi mpya za zana za kijeshi zimezinduliwa katika wizara ya ulinzi ya Iran katika hafla iliyohudhuriwa na Waziri wa Ulinzi Brigedia Jenerali Mohammad Reza Gharaei Ashtiani.
-
Eslami: IAEA isichukue misimamo ya kisiasa kuhusu Iran
Mar 05, 2022 10:56Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amesisitiza kuwa, Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) unapaswa kuchukua msimamo usio wa kisiasa kuhusu Iran.
-
Iran yazindua vituo viwili vya makombora na drone + Video
Mar 05, 2022 10:52Kamanda wa Kikosi cha Anga cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Brigedia Jenerali Amir Ali Hajizadeh amesema Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yameimarisha mara saba zaidi uwezo wa makombora na kuvurmisha makombora mengi kwa wakati moja na pia uwezo wa ndege za kivita zisizo na rubani au drone.
-
Mazungumzo ya Vienna na umuhimu wa safari ya Grossi mjini Tehran
Mar 05, 2022 08:04Rafael Grossi Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ta Atomiki (IAEA) leo Jumamosi amewasili hapa Tehran na kulakiwa na Behrouz Kamalvandi Msemaji na Mkuu wa Masuala ya Kimataifa wa Shirika la Nishati ya Atomiki lal Iran. Ziara ya Grossi hapa Tehran inafanyika kwa lengo la kuzipatia ufumbuzi baadhi ya hitilafu za mitazamo kuhusu faili la nyuklia la Iran pamoja na masuala mengine kati ya Iran na wakala wa IAEA.
-
Iran ni moja ya nchi zilizofanikiwa sana kupambana na corona
Mar 05, 2022 04:06Waziri wa Afya wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ni moja ya nchi kumi zilizofanikiwa sana kupambana na janga la corona ulimwenguni na hayo yanaweza kuhesabiwa kuwa ni mafanikio makubwa.
-
Iran yakaribisha ushirikiano na mashirika ya kimataifa na taasisi za utafiti
Mar 04, 2022 23:35Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Nyuklia ya Iran amesema kuwa, Tehran inakaribisha ushirikiano na mashirika ya kimataifa na taasisi za kielimu na kiutafiti.
-
Khatibu ya Swala ya Ijumaa: Marekani imehusika na yanayoendelea Ukraine
Mar 04, 2022 09:00Khatibu wa Muda wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehrah amekosoa vikali mienendo ghalati ya Marekani katika medani ya kimataifa na kusisitiza kuwa, US ni nembo ya ujahili mamboleo.
-
Abdollahian: Vita si suluhisho la migogoro, sera za vita za NATO zimulikwe
Mar 04, 2022 04:47Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Iran amesema vita sio suluhisho la mgogoro wa Ukraine au mgogoro mwingine wowote, lakini pia mzizi na chanzo cha mgogoro wa sasa na jitihada za NATO za kujipanua kuelekea Mashariki havipaswi kupuuzwa.
-
Mkurugenzi mkuu wa wakala wa IAEA kuitembelea Iran kesho
Mar 03, 2022 23:10Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) anatazamiwa kuitembelea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kesho Jumamosi kwa ziara rasmi ya kikazi.