-
Shamkhani: Mashinikizo ya juu yamefelishwa na sera ya muqawama
Mar 03, 2022 22:59Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema stratejia ya muqawama amilifu ndiyo iliyoishinda na kusambaratisha sera ya mashinikizo ya kiwango cha juu zaidi ya aliyekuwa rais wa Marekani, Donald Trump dhidi ya Iran.
-
Kukosoa Iran misimamo ya kindumakuwili ya madola ya Magharibi kuhusu haki za binadamu
Mar 03, 2022 22:54Katibu wa Baraza la Haki za Binadamu la Iran ambaye pia ni mkuu wa masuala ya kimataifa katika Idara ya Mahakama ya Iran amekosoa misimamo ya kindumakuwili ya madola ya Magharibi katika suala la haki za binadamu na kusema kuwa, kadhia ya haki za binadamu haipasi kutumiwa kama wenzo wa kisiasa.
-
Iran yapinga kutumiwa vibaya haki za binadamu kwa malengo ya kibeberu
Mar 03, 2022 09:22Naibu wa Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa ambaye pia ni Katibu wa Kamati ya Haki za Binadamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inapinga vikali kutumiwa vibaya suala la haki za binadamu.
-
Mazungumzo kuhusu kuondolewa Iran vikwazo vya kidhulma yanaendelea mjini Geneva
Mar 03, 2022 09:10Mkuu wa timu ya Jamhuiri ya Kiislamu ya Iran katika mazungumzo ya nyuklia, ameonana na mratibu wa kamati ya JCPOA mjini Geneva Uswisi.
-
Iran yasisitiza kutumiwa njia ya kisiasa kwa ajili ya kutatua mgogoro wa Ukraine
Mar 03, 2022 04:41Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kutumiwa njia ya kisiasa kwa ajili ya kutatua mgogoro wa Ukraine.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu; Marekani dhihirisho la “Ujahilia wa Kisasa”
Mar 02, 2022 09:26Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, uchafu mwingi wa kimaadili uliokuwa katika zama za ujahilia unashuhudiwa hii leo kwa sura pana, kubwa na ya kuratibiwa katika ulimwengu wa Magharibi unaojulikana kama uliostaarabika.
-
Iran yamshitaki seneta wa Marekani aliyewataka Wazayuni wazidi kuwaua kigaidi wanasayansi wa Iran
Mar 02, 2022 03:54Ofisi ya Mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa imeliandikia barua Baraza la Usalama la Umoja huo kumshitaki seneta mmoja Mmarekani aliyetoa maneno ya chuki na ya kigaidi dhidi ya wananchi wa Iran.
-
Iran: Azimio la UNSC kuhusu Yemen lina taathira hasi kwa mwenendo wa kutafuta amani
Mar 02, 2022 00:07Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu mgogoro wa Yemen na lugha iliyotumika katika azimio hilo vitakuwa na taathira hasi kwa mwenendo wa amani na kupanua zaidi ufa uliopo baina ya misimamo ya pande mbili zinazopigana.
-
Iran yaionya Marekani, yasema ina mpango wa pili iwapo mazungumzo ya Vienna yatafeli
Mar 01, 2022 07:35Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Saeed Khatibzadeh ameionya Marekani kuhusu ‘kuhadaa na kuboronga’ katika mazungumzo ya Vienna yaliyoitishwa kufufua mapatano ya nyuklia ya mwaka 2015 ya JCPOA. Katika ujumbe wake kupitia Twitter mapema Jumanne, Khatibzadeh amesema Iran iko tayari kufikia mapatano kupitia mazungumzo lakini haitasubiri milele.
-
Kiongozi Muadhamu: Ukraine imekuwa mhanga wa siasa za utawala wa kimafia wa Marekani
Mar 01, 2022 04:45Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Marekani ni utawala wa kimafia na kwamba, Ukraine imekuwa mhanga wa siasa za Washington.