-
Taasisi ya Jiolojia ya Iran kuanza kazi magharibi mwa Afrika
Dec 01, 2021 08:13Kufuatia kutiwa saini mapatano ya ushirikiano baina ya Taasisi ya Jiolojia na Uchimbaji Madini ya Iran na Taasisi ya Madini ya Mali, Iran sasa inatarajiwa kuimarisha shuhuli zake za jiolojia na uchimbaji madini magharibi mwa Afrika.
-
Spika wa Bunge la Iran: Mapatano adilifu, mazuri ni msingi wa kuondolewa vikwazo vya kidhalimu
Dec 01, 2021 08:03Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, amesema haki za taifa la Iran zitarejeshwa tu iwapo kutafikiwa mapatano maziri na adilifu ambayo yatapalekea vikwazo kuondolewa.
-
Raisi: Sheria ni mhimili wa kutekelezwa uadilifu
Dec 01, 2021 04:54Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika kikao cha pamoja cha Serikali na Bunge kuwa sheria ndio mhimili wa kutekelezwa uadilifu.
-
Tehran: Mazungumzo ya Vienna ni kwa ajili ya kuondolewa vikwazo ilivyowekewa Iran
Nov 30, 2021 01:07Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa, licha ya kwamba nchi za Magharibi zimeshindwa kutekeleza kabisa ahadi zao zote ndani ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA, lakini pamoja na hayo na kwa mara nyingine, Tehran imeamua kushiriki kwenye mazungumzo ili kuonesha nia yake njema na kufungua njia ya kuondolewa vikwazo vya kidhalimu ilivyowekewa Iran.
-
Mazungumzo ya Kamisheni ya Pamoja ya JCPOA yameanza leo Vienna Austria
Nov 29, 2021 12:01Duru mpya ya mazungumzo ya Kamisheni ya Pamoja ya makubaliano ya nyuklia JCPOA imeanza leo katika mji mkuu wa Austria Vienna.
-
Khatibzadeh: Iran inafanya juhudi zote ili kujidhaminia usalama wake
Nov 29, 2021 10:31Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inafanya kila iwezalo kuhakikisha kuwa, inajidhamia usalama wake.
-
Raisi katika kikao cha ECO: Vikwazo havitaathiri ushirikiano wa kieneo
Nov 28, 2021 23:58Rais Ibrahim Raisi wa Iran amezihakikishia nchi jirani kuwa vikwazo vya Marekani havitaathiri ushirikiano na maingiliano ya kieneo.
-
Iran na Zimbabwe zajadili njia za kukabiliana na vikwazo vya Marekani
Nov 28, 2021 23:54Maafisa wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Zimbabwe wamekutana mjini Tehran kujadili njia za kukabiliana na vikwazo vya Marekani katika sekta ya biashara.
-
Iran na Mali zatia saini mapatano ya ushirikiano katika madini
Nov 28, 2021 23:49Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Mali zimetiliana saini mapatano ya ushirikiano katika sekta ya uchimbaji madini. Mapatano hayo ni kati ya Shirika la Uhandisi wa Madini la Iran na Idara ya Uchimbaji Madini Mali.
-
Rais wa Iran ampongeza mwenzake wa Mauritania kwa mnasaba wa Siku ya Taifa
Nov 28, 2021 23:47Rais Ibrahim Raisi wa Iran amemtumia ujumbe wa pongezi rais wa Mauritania kwa mnasaba wa siku ya taifa ya nchi hiyo.