-
Iran: Tuko tayari kushirikiana na nchi za magharibi mwa Afrika kupambana na ugaidi
Nov 16, 2021 08:13Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu y Iran ameelezea kusikitishwa kwake na kupoteza maisha na kujeruhiuwa idadi kubwa ya raia wa Burkina Faso katika shambulio la hivi karibuni la kigaidi na kusisitiza kuwa, Tehran iko tayari kushirikiana na nchi za magharibi mwa Afrika katika vita dhidi ya ugaidi.
-
Kuimarishwa uhusiano wa Iran na Uturuki; kuelekea kwenye kiwango cha ushirikiano wa pande zote
Nov 16, 2021 04:21Jumatatu ya jana tarehe 15 Novemba, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Uturuki alikutana na kufanya mazungumzo hapa mjini Tehran na Rais Ibrahim Raeisi na Hussein Amir-Abdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Raisi: Iran na Uturuki zinapasa kujiandaa kuimarisha uhusiano na ushirikiano wa pande zote
Nov 15, 2021 12:35Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo hapa Tehran na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki na kusisitiza kuwa: Iran na Uturuki zinapasa kujiandaa kuimarisha uhusiano wa sasa kuelekea kwenye ushirikiano wa pande zote.
-
Mjumbe Maalumu wa Iran: Marekani inaunga mkono ISIS
Nov 15, 2021 08:21Mjumbe Maalum wa Rais wa Iran katika masuala ya Afghanistan amesema Marekani ilipata pigo na kushindwa vibaya huko Afghanistan, na sasa inajaribu kuliunga mkono kundi la kigaidi la Daesh (ISIS).
-
Iran yasubiri jibu la Saudia ili kuanza tena mazungumzo
Nov 15, 2021 04:44Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema hivi sasa Iran inasubiri Saudia ionyesha nia na irada ya kuanzisha tena mazungumzo.
-
Iran inamiliki teknolojia za kisasa za kijeshi kukabiliana na maadui
Nov 15, 2021 01:23Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema Iran sasa inamiliki teknolojia za kisasa kabisa za kijeshi na katu haitaruhusu adui atekeleza hujuma yoyote dhidi ya nchi.
-
Ayatullah Khamenei ateua wajumbe wapya wa Baraza Kuu la Mapinduzi ya Kiutamaduni
Nov 14, 2021 12:40Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameteua wajumbe wapya wa Baraza Kuu la Mapinduzi ya Kiutamaduni.
-
Tahadhari ya Tsunami Ghuba ya Uajemi baada ya mtetemeko wa ardhi kusini mwa Iran
Nov 14, 2021 11:51Tahadhari ya kutokea mawimbi makali ya Tsunami imetolewa leo baada ya mtetemeko wa ardhi uliotokea katika mkoa wa Hormozgan kusini mwa Iran ukiwa na ukubwa wa 6.4 kwa kipimo cha Rishta.
-
Iran: Tuna nia njema tunapoingia kwenye mazungumzo ya Vienna
Nov 14, 2021 04:48Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi hii ina azma na nia njema inapojiandaa kuingia katika duru mpya ya mazungumzo ya Vienna kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Rais Raisi ahimiza kuungwa mkono wazalishaji wa Iran wa chanjo za corona
Nov 13, 2021 08:14Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amehimiza kuepuka kuchukuliwa hatua zozote za kupuuza tahadhari za watu wa afya za kujikinga na ugonjwa wa UVIKO-19 na ametaka pia kutolewe dhamana madhubuti za kununuliwa na serikali chanjo zote za corona zinazozalishwa humu nchini.