-
Iran: Mazungumzo kuhusu Uingereza kutulipa deni letu yangali yanaendelea
Nov 13, 2021 00:49Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika masuala ya kisiasa amesema mjini London Uingereza kwamba mazungumzo kuhusu Uingereza kuilipa Tehran deni lake la mamia ya mamilioni ya Pound, yanaendelea ingawa hadi hivi sasa mchakato na namna ya kulipwa deni hilo haijafikiwa mwafaka.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Kadhia za Afghanistan na Iraq ni muhimu kwa ulimwengu wa Kiislamu
Nov 12, 2021 07:43Khatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran amesema leo kadhia za Iraq na Afghanistan ni muhimu kwa ulimwengu wa Kiislamu.
-
"Iran inataka 'makubaliano mazuri' katika mazungumzo ya Vienna"
Nov 11, 2021 04:43Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa hili limejiandaa kwa ajili ya kufikiwa 'makubaliano mazuri' katika mazungumzo ya Vienna kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA, yanayotazamiwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu.
-
Maelfu ya wakimbizi wa Kiafghani wanaingia Iran kila siku
Nov 11, 2021 04:39Shirika moja la Ulaya la kushughulikia maslahi ya wakimbizi limeiasa jamii ya kimataifa kuwapa msaada wa chakula na makazi maelfu ya wakimbizi wanaoingia nchini Iran kila siku wakitokea Afghanistan.
-
Iran yakosoa baadhi ya nchi kwa kuzembea katika vita dhidi ya dawa za kulevya
Nov 11, 2021 01:39Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran amezikosia baadhi ya nchi ambazo zimezembea katika vita dhidi ya dawa za kulevya au mihadarati.
-
Iran yaiachilia huru meli iliyokuwa imebeba mafuta ya kuibwa
Nov 11, 2021 01:30Meli ya mafuta iliyokuwa inashikiliwa Iran kutokana na kuhusika katika wizi wa mafuta ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, imeachiliwa kufuatia hukumu ya mahakama na baada ya mafuta hayo kurejeshwa.
-
Iran: Marekani iwajibishwe kwa matatizo yanaoikumba Afghanistan
Nov 10, 2021 10:56Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani na waitifaki wake wanapaswa kubebeshwa dhima kutokana na migogoro na matatizo mengine yanayoshuhudiwa hii leo nchini Afghanistan.
-
Takht-Ravanchi: Vikwazo vya Marekani vinakwamisha ustawi endelevu katika nchi mbalimbali
Nov 10, 2021 03:01Mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, vikwazo vya upande mmoja vya Marekani vinazizuia nchi mbalimbali kupata vyanzo vya fedha na ustawi unaohitajika kwa ajili ya kutimiza malengo ya ustawi endelevu.
-
Waziri: Mafanikio ya mazungumzo ya Vienna yanategemea kuondolewa vikwazo vyote Iran
Nov 09, 2021 04:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kufanikiwa mazungumzo ya mjini Vienna, Austria kuhusu makubaliano ya JCPOA kutategemea na kuondolewa vikwazo vyote Iran, sambamba na kuifanya ya kawaida miamala ya kibiashara na Tehran.
-
Maonyesho ya Hijabu na Staha yafanyika Tehran
Nov 08, 2021 23:00Maonyesho ya Bidhaa za Hijabu na Staha yamefunguliwa Tehran Jumatatu katika sherehe ambayo imehudhuriwa na gavana mpya wa Tehran Muhsin Mansuri.