-
Iran imejitosheleza kuzalisha dawa za kukabiliana na COVID-19
Nov 08, 2021 22:59Waziri wa Afya wa Iran amesema nchi hii sasa imejitosheleza kikamilifu katika kuzalisha dawa za kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19.
-
Iran imeuza bidhaa katika nchi 142 duniani katika kipindi cha miezi saba
Nov 08, 2021 22:58Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanikiwa kuuza bidhaa zake katika nchi 142 katika kipindi cha miezi saba iliyopita.
-
Umuhimu na ujumbe wa luteka ya Dhulfiqar 1400 + Video
Nov 08, 2021 22:53Luteka ya pamoja ya Dhulfiqar 1400 ya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilianza siku ya Jumapili kwa jina takatifu la 'Ya Rasulullah (saw).'
-
Khatibzadeh: Kwa kuondoka Marekani nchini Iraq, amani na usalama wa nchi hiyo utapatikana
Nov 08, 2021 07:55Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, endapo Marekani itaondoka nchini Iraq, amani na uthabiti wa nchi hiyo ya Kiarabu utapatikana.
-
Iran: Jaribio la mauaji ya Waziri Mkuu wa Iraq lililenga kuvuruga amani ya nchi hiyo
Nov 07, 2021 23:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali jaribio lililofeli la mauaji dhidi ya Waziri Mkuu wa Iraq, Mustafa al-Kadhimi.
-
Kamanda Rashid: Maadui wasiujaribu uwezo wa IRGC na jeshi la Iran
Nov 07, 2021 23:14Kamanda wa Makao Makuu ya Kamandi ya Kijeshi ya Khatamul Anbiya ya Iran amewatahadharisha maadui wa Jamhuri ya Kiislamu dhidi ya kuujaribu uwezo wa jeshi la nchi hii na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).
-
Maendeleo ya Iran katika teknolojia ya nyuklia
Nov 07, 2021 08:43Akiba ya madini ya urani iliyorutubishwa kwa kiwango cha asilimia 20 imezidi kilo 210 na ile iliyorutubishwa kwa kiwango cha asilimia 60 hapa nchini imefikia kilo 25.
-
Iran yatuma salamu za rambirambi Sierra Leone baada ya karibu watu 100 kufa katika mlipuko wa lori la mafuta
Nov 07, 2021 04:20Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za rambirambi kwa wananchi na serikali ya Sierra Leone baada ya watu karibu watu 100 kuaga dunia kufuatia tukio la mlipuko wa lori la mafuta.
-
Iran: Nchi za Magharibi zisifanye tamaa katika mazungumzo ya Vienna
Nov 06, 2021 13:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mazungumzo ya mjini Vienna yataingia kasi inayotakiwa iwapo madola ya Ulaya na Marekani yataacha tamaa na kupenda mambo yaliyo nje ya makubaliano ya JCPOA.
-
Balozi wa Afrika Kusini Tehran ataka Iran iondolewe vikwazo
Nov 06, 2021 04:36Balozi wa Afrika Kusini katika mji wa Tehran amesema kuondolewa vikwazo dhidi ya Iran ni kwa maslahi ya jamii ya kimataifa. Ameongeza kuwa kuondolewa vikwazo hivyo kutakuwa na manufaa kwa nchi nyingi duniani.