-
Akiba ya urani iliyorutubishwa kwa 60% ya Iran yafikia kilo 25
Nov 05, 2021 23:55Msemaji wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) amesema akiba ya madini ya urani iliyorutubishwa kwa kiwango cha asilimia 60 hapa nchini imefikia kilo 25.
-
Imamu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Iran haitakubali mazungumzo yasiyo na mwisho
Nov 05, 2021 10:12Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa Iran iko tayari kuingia kwenye mazungumzo ambayo matokeo yake ni kuondolewa vikwazo vyote na kwamba haikubali mazungumzo yasiyo na mwisho.
-
Licha ya kuhalifu ahadi za JCPOA, Marekani yakazania kufanya mazungumzo na Iran juu ya masuala yasiyohusu
Nov 05, 2021 04:40Licha ya Marekani kukiuka makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na hatimaye kuchukua hatua ya upande mmoja ya kujitoa katika makubaliano hayo, imedai kwa mara nyingine tena kuwa baada ya kurudi kwenye JCPOA itafanya mazungumzo tena juu ya masuala mengine inayohitilafiana na Iran.
-
Rais Raisi: Uharamia wa Marekani wa kuiba mafuta ya Iran ni kitendo cha aibu
Nov 04, 2021 08:34Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, wizi wa mafuta ulioyofanywa na Marekani katika Bahari ya Oman ni kitendo cha aibu na fedhena.
-
Iran: Aban 13 imebadilisha kabisa mlingano wa nguvu kieneo na kitaifa
Nov 04, 2021 08:33Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetoa taarifa na kusema kuwa, Aban 13 (Novemba 4) ambayo ni siku ya kupambana na ubeberu nchini Iran, bila ya shaka yoyote imebadilisha kabisa mlingano wa nguvu kieneo na kimataifa.
-
Kuzabwa kibao Marekani na jeshi la SEPAH; kushindwa Washington kuiba mafuta ya Iran
Nov 04, 2021 04:49Wanajeshi shupavu wa kikosi cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) kwa mara nyingine tena wameonyesha nguvu, uwezo, umakini wa hali ya juu walionao na kutokuwa na mzaha hata kidogo katika kulinda maslahi ya taifa baada ya kutoa pigo jingine dhidi ya vikosi vya kigaidi vya Marekani vilivyoko katika eneo la Asia Magharibi.
-
Mwangwi wa dharba ya IRGC dhidi ya jeshi ya Marekani, vyombo vya habari vya US vyafyata mkia
Nov 04, 2021 04:23Kushiindwa kwa jeshi la Marekani mbele ya operesheni makini ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika maji ya Bahari ya Oman kumeibua mwangwi mkubwa katika vyombo vya habari vya kimataifa.
-
Kikosi cha IRGC cha Iran chazima uharamia wa jeshi la Marekani katika Bahari ya Oman
Nov 03, 2021 07:55Operesheni makinii na iliyochukuliwa wakati mwafaka na wanajeshi shupavu wa kikosi cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (Sepah) imefanikiwa kuzima jaribio la uharamia na wizi wa mafuta uliosimamiwa na manuwari ya kijeshi ya Marekani katika maji ya Bahari ya Oman.
-
Khatibzadeh: Vitisho haviwezi kuzaa matunda mbele ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Nov 03, 2021 04:14Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameandika katika mtandao wa kijamii wa Twitter kujibu matamshi ya waziri wa mambo ya nje wa Marekani, Antony Blinken aliyedai kuwa Washington inatafuta machaguo mengine ya kukabiiana na Iran na ameandika: Vitisho kamwe havijawahi kuzaa matunda mbele ya Iran.
-
Zarif amjibu Trump: Wazayuni hadi hivi sasa ndio wanaoidhibiti Congress ya Marekani
Nov 03, 2021 00:09Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amejibu madai mapya ya rais wa zamani wa Marekani Donald Trump aliyedai kuwa, Wazayuni hapo zamani walikuwa wanalidhibiti Baraza la Congress la Marekani.