-
Zarif amjibu Trump: Wazayuni hadi hivi sasa ndio wanaoidhibiti Congress ya Marekani
Nov 03, 2021 00:09Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amejibu madai mapya ya rais wa zamani wa Marekani Donald Trump aliyedai kuwa, Wazayuni hapo zamani walikuwa wanalidhibiti Baraza la Congress la Marekani.
-
Iran: Kundi la 4+1 liwe tayari kwa mazungumzo yatakayoheshimu haki
Nov 02, 2021 11:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kundi la 4+1 lililosalia katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA linapaswa kujiandaa kwa mazungumzo ya kuhuisha mapatano hayo ya kimataifa, kwa kuzingatia na kuheshimu misingi ya haki na maslahi ya pande zote.
-
Iran: Kimya cha wanaojigamba kuwa watetezi wa haki za binadamu ndicho kilichoutia jeuri utawala wa Israel
Nov 01, 2021 23:13Katibu wa Tume ya Haki za Binadamu ya Mhimili wa Mahakama wa Iran amesema, kimya cha wanaoitwa waungaji mkono wa haki za binadamu ndio sababu ya ufidhuli na ujeuri uliofanywa na utawala bandia wa Israel katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.
-
Magenge 78 ya magendo ya silaha yasambaratishwa nchini Iran
Nov 01, 2021 21:30Wizara ya Usalama wa Taifa ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa, imefanikiwa kusambaratisha magenge 78 ya magendo ya silaha na vifaa vya kijeshi humu nchini.
-
Khatibzadeh: Hakuna mawasiliano ya aina yoyote baina ya Iran na Marekani
Nov 01, 2021 11:15Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran amekadhibisha madai ya kuwepo mawasiliano baina ya Jamhuri ya Kiislamu na Marekkani.
-
Waziri: Marekani haijaonyesha azma imara ya kurejea katika mapatano ya nyuklia
Nov 01, 2021 04:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Marekani haijaonyesha azma imara ya kutekeleza kivitendo matamshi yake kuwa iko tayari kurejea katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA baada ya mtawala wa zamani wa nchi hiyo Donald Trump kujiondoa katika mapatano hayo mwaka 2018.
-
Khatibzadeh: Mapatano ya awali yamefikiwa katika mazungumzo ya Iran na Saudia
Oct 31, 2021 09:02Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema mapatano ya awali yamefikiwa katika mazungumzo baina ya Iran na Saudi Arabia.
-
Kuimarisha uhusiano wa kiuchumi ni kipaumbele cha sera za kigeni za Iran
Oct 31, 2021 09:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Hossein Amirabdollahian amesema kipaumbele katika sera za kigeni za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hivi sasa ni kuimarisha uhusiano wa kiuchumi na nchi za dunia hasa nchi jirani.
-
Iran: Irada ya kisiasa inahitajika kuangamiza silaha za nyuklia duniani
Oct 31, 2021 08:59Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema irada ya kisiasa inahitajika ili kuangamiza silaha za nyuklia duniani.
-
Amir Abdullahiyan: Mustakbali wa wananchi haufungamanishwi na nchi yoyote
Oct 31, 2021 04:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa mustakbali wa wananchi na nchi yao haufungamanishwi kabisa na mapatano ya JCPOA wala nchi yoyote na kwamba maslahi ya pamoja ndio msingi wa mahusiano.