-
Iran: Irada ya kisiasa inahitajika kuangamiza silaha za nyuklia duniani
Oct 31, 2021 08:59Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema irada ya kisiasa inahitajika ili kuangamiza silaha za nyuklia duniani.
-
Amir Abdullahiyan: Mustakbali wa wananchi haufungamanishwi na nchi yoyote
Oct 31, 2021 04:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa mustakbali wa wananchi na nchi yao haufungamanishwi kabisa na mapatano ya JCPOA wala nchi yoyote na kwamba maslahi ya pamoja ndio msingi wa mahusiano.
-
Saeed Khatibzadeh: Iran inafuatilia kwa makini matukio ya Sudan
Oct 30, 2021 09:03Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kubainisha matukio ya kutia shaka ya hivi karibuni nchini Sudan hayasaidii mchakato wa demokrasia katika nchi hiyo kusema kuwa, Tehran inafuatilia kwa umakini matukio hayo.
-
Iran yalaani vikwazo vipya ilivyowekewa na Marekani
Oct 30, 2021 04:35Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikwazo vipya vilivyowekwa na Marekani na akasema mashinikizo na vikwazo hivyo havitateteresha hata chembe azma ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ya kulinda amani na usalama wa watu wake.
-
Iran, Russia zasisitiza mazungumzo ya JCPOA yatafanikiwa Iran ikiondolewa vikwazo
Oct 29, 2021 23:57Iran na Russia zimesisitiza kwamba mazungumzo ya pande zilizosalia katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA ya mwaka 2015 yatafanikiwa tu iwapo yatapelekea kuondolewa vikwazo dhidi ya Iran sambamba na pande zote kutekeleza mapatano hayo.
-
Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Mabeberu hawana lengo isipokuwa kuvuruga amani
Oct 29, 2021 08:10Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa, harakati zinazofanywa na mabeberu kwa sasa zinalenga kuvuruga amani na usalama.
-
Kukomeshwa mwenendo wa kukhalifu ahadi na kuondolewa vikwazo; takwa la Iran la kuendelea na mazungumzo ya Vienna
Oct 28, 2021 22:52Ali Bagheri, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema, kupewa hakikisho la kutorudiwa tena tabia ya kukhalifu makubaliano na mwenendo wa uvunjaji sheria wa upande wa pili katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, ni takwa ambalo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitakuwa tayari kulifumbia macho.
-
Uhusiano wa kiuchumi wa Iran na Saudi Arabia waanza rasmi, meli ya kwanza ya Iran yatia nanga Saudia
Oct 28, 2021 03:55Mkuu wa Shirikisho la Usafirishaji Nje Bidhaa za Iran amesema kuwa, uhusiano wa kiuchumi wa nchi yake na Saudi Arabia umeanza rasmi baada ya meli moja yenye bidhaa za Iran kutia nanga katika moja ya bandari za Saudia.
-
Rais Ebrahim Raisi alaani hujuma ya kimtandao dhidi ya vituo vya mafuta vya Iran
Oct 27, 2021 23:08Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, shambulio la kimtandao dhidi ya vituo vya mafuta vya Jamhuri ya Kiislamu ni njama za maadui zilizolenga kuwahamakisha na kuvuruga maisha ya kila siku ya Wairani.
-
Njia pekee ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Afghanistan ni kuzishirikisha kaumu zote katika muundo wa kisiasa
Oct 27, 2021 23:02Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi Jrani na Afghanistan mwishoni mwa kikao chao hapa Tehran wametoa taarifa ya pamoja na kusisitiza kuwa: njia pekee ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Afghanistan ni kuasisi muundo mpana wa kisiasa kwa kuyashirikisha makundi yote ya nchi hiyo.