-
Ziara ya Tajikistan; safari ya kwanza ya Rais Raisi nje ya nchi
Sep 14, 2021 22:26Rais wa Iran kesho Alkhamisi anatazamiwa kuelekea Tajikistan kwa lengo la kushirki kikao cha viongozi wa Jumuiya ya Ushrikiano ya Shanghai.
-
Naibu Waziri wa Afya wa Iran: Dunia inasumbuliwa na hatari ya Apartheid ya chanjo ya corona
Sep 14, 2021 10:37Naibu Waziri wa Afya wa Iran amesema kuwa, dunia inasumbuliwa na Apartheid ya chanjo ya corona.
-
Sababu za masaibu ya Afghanistan kwa mtazamo wa Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Iran
Sep 14, 2021 03:49Hussein Amir-Abdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa hotuba kwenye kikao cha Umoja wa Mataifa kilichofanyika kwa njia ya mawasiliano ya Intaneti kwa anuani ya "Hali ya Huduma za Kibinadamu Nchini Afghanistan" na kubainisha mtazamo wa Iran kuhusiana na hali ya sasa ya Afghanistan.
-
Amir Abdollahian: Marekani ndio chanzo cha kuvurugika uthabiti Afghanistan
Sep 13, 2021 23:13Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Marekani imechangia pakubwa katika kuvurugika amani na uthabiti nchini Afghanistan.
-
Khatibzadeh: Iran haitastahamili vitisho vya aina yoyote dhidi ya usalama wake
Sep 13, 2021 05:55Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, lengo la mashambulizi yaliyofanywa na Iran hivi karibuni dhidi ya makundi ya kigaidi huko Kurdistan nchini Iraq ni kujibu chokochoko za magaidi hao.
-
Rais Raisi: Idadi ya wafanya ziara wa Iran katika Arubain ya Imam Husain AS nchini Iraq, itaongezwa
Sep 12, 2021 08:39Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo na waandishi wa habari akiwa pamoja na Waziri Mkuu wa Iraq kwamba, idadi ya wafanya ziara wa Iran katika Arubaini ya Imam Husain AS itaongezwa mwaka huu.
-
Iran na IAEA zasisitiza kuimarisha ushirikiano wa kiufundi
Sep 12, 2021 06:09Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) leo zimetoa taarifa ya pamoja zikitilia mkazo suala la kuimarisha ushirikiano wa kiufundi baina ya pande hizo mbili.
-
Khatibzadeh: Safari ya Grossi mjini Tehran ni katika fremu ya ushirikiano wa kiufundi
Sep 11, 2021 21:46Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran amesema kuwa, safari ya Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) mjini Tehran inafanyika katika fremu ya kutatua masuala ya kiufundi baina ya Iran na wakala huo.
-
Mwanasoka wa Iran akataa kuchezea klabu yake ya Uholanzi katika mechi ya kimataifa na timu ya Kizayuni
Sep 11, 2021 02:29Klabu ya soka ya Feyenoord Rotterdam ya Uholanzi imekubali ombi la Alireza Jahanbakhsh mwanasoka wa timu ya taifa ya Iran anayechezea timu hiyo la kutoandamana nayo katika mechi dhidi ya timu ya Kizayuni ya Maccabi Haifa katika michuano ya klabu za Ulaya.
-
Iran yajibu upayukaji wa waziri wa mambo ya nje wa Israel
Sep 10, 2021 21:00Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu porojo na upayukaji wa waziri wa mambo ya nje wa utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema kuwa, Iran ina haki ya kujibu chokochoko zozote zile.