-
Iran yalaani tuhuma za kuaibisha zilizotolewa na inayojiita kamati ya pande nne ya Jumuiya ya Waarabu
Sep 10, 2021 08:23Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani tuhuma za kuaibisha zilizotolewa na inayojiita kamati ya pande nne ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Amir-Abdollahian: Umoja wa Mataifa una jukumu la kutetea haki za Wapalestina
Sep 10, 2021 03:41Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani jinai za utawala haramu wa Israel na kueleza kwamba, Umoja wa Mataifa una jukumu la kutetea haki za Wapalestina.
-
Amir-Abdollahian: Iran inataka kuundwe serikari jumuishi nchini Afghanistan
Sep 09, 2021 22:17Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu bado inafuatilia suala la kuundwa serikali jumuishi na inayoshirikisha makundi na kaumu zote huko nchini Afghanistan.
-
Radiamali ya Iran kwa madai ya “Grossi”; sisitizo la udharura wa wakala wa IAEA la kutopendelea upande wowote
Sep 09, 2021 21:50Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni nchi iliyo wazi zaidi duniani kwa upande wa utekelezaji wa ahadi za nyuklia.
-
Iran yatilia mkazo wajibu wa kulindwa usalama na utulivu nchini Afghanistan
Sep 09, 2021 03:05Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameandika katika mtandao wa kijamii wa Twitter kwamba, suala la usalama na utulivu wa Afghanistan ni muhimu sana kwa Iran.
-
Rais Raisi: Mahusiano ya Iran na nchi za Ulaya yanategemea kuzingatiwa msingi wa kuheshimiana
Sep 08, 2021 22:47Rais Ebrahim Raisi amesema, mahusiano ya Iran na nchi za Ulaya yanategemea kuchungwa na kuzingatiwa msingi wa kuheshimiana baina ya pande mbili.
-
Diplomasia ya Tehran; juhudi za kusaidia mchakato wa mazungumzo shirikishi nchini Afghanistan
Sep 08, 2021 11:03Siasa kuu za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kusaidia mchakato wa mazungumzo ya makundi na vyama vyote huko Afghanistan.
-
Amir-Abdollahian: Iran inataka Afghanistan isiyo na vita wala ugaidi
Sep 08, 2021 02:42Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhuri ya Kiiislamu ya Iran ametoa wito wa kuwepo Afghanistan isiyo na vita wala ugaidi.
-
Abdollahian: Marekani ndiye mhalifu mkuu katika ukiukaji wa JCPOA
Sep 06, 2021 22:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Marekani imetoa pigo kuu kwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA; na si mtuhumiwa bali ndiye mhalifu mkuu katika ukiukaji wa makubaliano hayo.
-
Iran: Tuko pamoja na wananchi wa Afghanistan
Sep 06, 2021 06:39Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, Tehran itaendelea kuwa pamoja na wananchi wa Afghanistan katika juhudi za kuleta amani na utulivu nchini humo.