-
Ayatullah Khamenei: Nyoyo zetu ziko pamoja na Wapalestina katika uwanja wa mapambano
May 24, 2021 06:36Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran Ayatullah Ali Khamenei amejibu barua za viongozi wa harakati za mapambano ya ukomboa Palestina za Hamas na Jihad Islami akisisitiza kuwa: Nyoyo zetu ziko pamoja nanyi katika uwanja wa mapambano yenu, na hatimaye mtapata ushindi.
-
Araqchi: Mapatano yamefikiwa kuhusu kuondolewa asilimia 95 ya vikwazo
May 23, 2021 21:59Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa mapatano yamefikiwa kuhusu kuondolewa asilimia 95 ya vikwazo.
-
Rouhani: Taifa la Iran limeibuka na unshindi katika vita ya kiuchumi
May 23, 2021 06:24Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa taifa la Iran limeibuka na ushindi katika vita ya kiuchumi.
-
Afisa wa Hamas: Fikra za Shahidi Soleimani zilisambaratisha 'Kuba la Chuma, la Israel
May 23, 2021 03:30Mwakilishi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, mjini Tehran ameashiria kombora shupavu la Ayash linalomilikiwa na harakati hiyo na kusema: "Teknolojia ya kombora hilo ilikuwa fikra ya Shahidi Luteni Jenerali Soleimani na yeye ndiye aliyetupa teknolojia hii na tukaweza kujifunza na hatimaye ikaweza kulenga makombora ya 'Kuba la Chuma' la Israel."
-
Watu wa Tehran washerehekea ushindi wa Wapalestina
May 22, 2021 12:25Wananchi wa Tehran, mji mkuu wa Iran wameshiriki katika sherehe ya pili ya kupongeza ushindi mkubwa wa Wapalestina katika makabiliano na utawala wa Kizayuni wa Israel huko Gaza.
-
Mej. Jen. Baqeri apongeza harakati za muqawama Palestina kwa ushindi mkubwa
May 22, 2021 12:16Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe kwa mnasaba wa ushindi mkubwa na wa kihistoria wa wapigana jihadi wa Palestina katika makabiliano na utawala vamizi wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu kufuatia ushindi wa muqawama wa Palestina; vielelezo muhimu vya ushindi huo na taathira zake kwa mustakbali wa Palestina
May 22, 2021 06:01Mashambulizi ya kijinai na kichokozi ya Israel huko Ukanda wa Ghaza na katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan hatimaye yamemalizika kwa kushindwa tena kwa fedheha utawala wa Kizayuni.
-
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran yapongeza muqawama wa taifa la Palestina
May 22, 2021 02:19Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran usiku wa kuamkia leo imetoa taarifa rasmi ya kulipongeza taifa la Palesstina hasa wakazi mashujaa na wenye subira wa Ukanda wa Ghaza kwa kusimama imara mbele ya mashambulio ya kinyama ya Israel.
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu kufuatia ushindi wa muqawama dhidi ya utawala wa Kizayuni
May 21, 2021 22:15Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma ujumbe maalumu na kuupongeza muqawama wa Palestina kwa ushindi wake katika vita vya siku 12 kati yake na utawala wa Kizayuni.
-
Sepah: Kipindi cha kupiga na kutoroka na kuharibu nyumba za Wapalestina kimepita
May 21, 2021 22:00jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (SEPAH) limetoa taarifa likiwapongeza wanamapambano wa Palestina kwa kupata ushindi mkubwa mbele ya jinai na uhalifu wa utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema, "Operesheni ya Panga la Quds" imeonesha kuwa, ushindi wa Intifadha na mapambano ya Wapalestina katika medani vimevuruga mahesabu kwa maslahi ya makundi ya mapambano ya ukombozi ya Palestina dhidi ya Wazayuni.