-
Waziri wa Saudi Arabia: Tuna matumaiani na mwenendo wa mazungumzo na Iran
May 19, 2021 06:54Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Saudi Arabia amesema kuwa, nchi yake ina matumaini na mwenendo wa mazungumzo kati ya nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Hatami: Intifadha imeigeuza kuwa jinamizi ndoto ya Wazayuni ya 'kuanzia Nile hadi Euphrates'
May 19, 2021 03:41Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kwa kuivuka Intifadha ya kupambana kwa mawe na kuingia kwenye Intifadha ya kupambana kwa makombora, wananchi mashujaa wa Palestina wameigeuza ndoto ya Wazayuni ya kutawala kuanzia Mto Nile hadi Mto Euphrates kuwa jinamizi la kupigania kuilinda kambi ya kigaidi ya utawala wa Kizayuni wa Iisrael.
-
Sisitizo la Rouhani la kulindwa usalama wa kiafya wa wananchi kwa ajili ya kuongeza ushiriki wao katika uchaguzi
May 18, 2021 23:40Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza udharura wa kulindwa usalama wa kiafya wa wananchi ili kuwahamasisha washiriki kwa wingi katika uchaguzi mkuu ujao wa rais.
-
Barua ya makundi ya muqawama Palestina kwa Kiongozi Muadhamu; sisitizo la kuendeleza njia ya mapambano hadi kukombolewa Quds tukufu
May 18, 2021 21:59Hujuma na mashambulio ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya makazi ya raia katika Ukanda wa Gaza yangali yanaendelea.
-
Wabunge wa Iran wataka kufutwa vikwazo vyote ilivyowekewa Tehran
May 18, 2021 09:17Wabunge 200 wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) wametoa tamko la pamoja la kutaka kufutwa vikwazo vyote ilivyowekewa Iran.
-
Kharrazi: Mapambano na kufutwa 'Apartheid'; mkakati wa kukomeshwa jinai za utawala wa Kizayuni
May 18, 2021 02:07Mkuu wa Baraza la Kiistratijia la Uhusiano wa Nje la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, muqawama, mapambano na kufutiliwa ubaguzi aina ya Apartheid ni mkakakati na stratijia muhimu ya kukomesha jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Sisitizo la Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Sepah la udharura kujibiwa hujuma za adui Mzayuni
May 17, 2021 22:25Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (SEPAH) amelaani jinai na unyama wa utawala vamizi wa Israel dhidi ya wananchi madhlumu wa Palestina.
-
Iran iko tayari kuwapokea na kuwatibu waliojeruhiwa katika hujuma za utawala wa Kizayuni Ghaza
May 17, 2021 22:23Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa iko tayari kuwapokea na kuwapa matibabu Wapalestina ambao wamejeruhiwa katika hujuma za kinyama za utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza.
-
Iran yataka viongozi wa kidini duniani watetee amani na uthabiti Palestina
May 17, 2021 22:20Mkuu wa Shirika la Iran la Utamaduni na Uhusiano wa Kiislamu (ICRO) ametoa wito kwa viongozi wa kidini na kiutamaduni duniani kuchukua hatua za kulaani jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya watu wa Palestina.
-
Rais Rouhani: Usalama na Uthabiti nchini Iraq ni usalama Iran
May 17, 2021 08:34Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema usalama na uthabiti nchini Iraq ni sawa na usamala nchini Iran na amesisitiza kuhusu ushirikiano wa nchi mbili katika kukabiliana na taharui za makundi ya wakufurishaji na magaidi.