-
Iran: Mkuu wa IAEA anapasa kuepuka ‘matamshi yasiyo na msingi’ kuhusu miradi ya nyuklia ya Iran yenye malengo ya kiraia
Oct 30, 2025 08:51Iran imesema kuwa Rafael Grossi Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) anajia “kikamilifu” namana miradi ya nishati ya nyuklia ya nchi hii ilivyo ya malengo ya amani na ya kiraia; kwa hiyo anapasa kujiepusha kutoa “matamshi yasiyo na msingi” kuhudu miradi hiyo.
-
Belarus yadhamiria kukuza uhusiano na Iran
Oct 30, 2025 08:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Belarus, Maxim Ryzhenkov, amesema nchi yake imedhamiria kukuza uhusiano na Iran katika nyanja mbalimbali.
-
Grossi: Hakujaonekana ongezeko la urutubishaji urani nchini Iran
Oct 30, 2025 03:17Licha ya Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa la Nishati ya Atomiki IAEA kutangaza kuwa hakuna ongezeko lolote la urutubishaji urani nchini Iran, lakini wakati huo huo amedai kuwa kumeonaka harakati mpya katika vituo vya nyuklia vya Iran.
-
Qalibaf: Iran Kamwe Haitasalimu Amri
Oct 29, 2025 23:34Katika hafla ya kuwaenzi mashahidi wa Iran huko Khorasan Kaskazini, Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), Mohammad-Baqer Qalibaf, ametamka kwa msisitizo kwamba, “Iran kamwe haitasalimu amri.”
-
Mkutano wa ECO mjini Tehran; Ishara ya Utulivu, Uaminifu na Fursa Mpya za Uchumi
Oct 29, 2025 22:48Mkutano wa nne wa mawaziri wa nchi wanachama wa Shirika la Ushirikiano wa Kiuchumi (ECO) umefanyika mjini Tehran, ukiwahusisha mawaziri na manaibu mawaziri wa mambo ya ndani wa nchi wanachama.
-
Baqaei: Naibu Waziri wa Mambo ya Nje ajadili usalama wa mipaka na haki ya maji ziarani Afghanistan
Oct 29, 2025 04:02Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Esmaeil Baqaei ameeleza kuwa Kazem Gharibabadi Naibu Waziri wa Mambo ya Nje amefanya ziara nchini Afghanistan ili kujadili masuala kadhaa ambayo yamesalia kwenye ajenda ya uhusiano kati ya nchi mbili, ikiwa ni pamoja na suala la usalama wa mipaka.
-
Upeo mpya katika mahusiano ya kibiashara wa Iran na Pakistan; biashara ya kubadilishana, hatua mpya ya kuendeleza ushirikiano wa kiuchumi
Oct 28, 2025 22:56Matukio chanya yametokea katika wiki za hivi karibuni katika suala la kuongeza uhusiano wa kibiashara na mawasiliano kati ya Iran na Pakistan.
-
'Ni Hatari': Iran yalaani uchochezi wa kijeshi wa Marekani huko Venezuela
Oct 28, 2025 14:26Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani uchochezi wa kijeshi wa Marekani kandokando ya Venezuela ikisema ni tishio kwa amani na usalama katika eneo la Karibi na Amerika Kusini.
-
Mshauri wa kijeshi wa Ayatullah Khamenei: Iran iko tayari kwa 'vita vya korido' ili kuongeza ushawishi wa kimkakati
Oct 28, 2025 08:53Mshauri mkuu wa kijeshi wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ametaja "vita vya korido" vinavyoibuka kuwa ni uwanja muhimu katika uhusiano wa kimataifa, na uwanja mpya wa ushawishi wa kimkakati wa Iran.
-
Pezeshkian atoa wito wa kubuniwa mfumo wa usalama' wenye msikamano ndani ya kambi ya ECO
Oct 28, 2025 07:25Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, ametoa wito kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Kiuchumi ya ECO kuanzisha na kutekeleza mfumo thabiti wa usalama, unaounda utulivu, wa ndani, na unaozingatia maendeleo.