-
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje Iran: Mpira uko kwenye uwanja wa Marekani kuthibitisha azma ya kufikia makubaliano ya nyuklia
Feb 15, 2026 07:26Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema ni zamu ya Marekani kuonyesha azma ya kufikia makubaliano yanayolenga kutatua suala la nyuklia la Tehran.
-
Araqchi: Sarakasi ya Munich dhidi ya Iran imedhihirisha namna Ulaya ilivyopoteza ushawishi wake wa kijiopolitiki
Feb 15, 2026 04:30Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa Mkutano wa Usalama wa Munich uliokua na mtazamo dhidi ya Iran umegeuka na kuwa kongamano la sakarakasi na hivyo kudhihirisha namna Ulaya ilivyopoteza ushawishi wake wa kijiopolitiki na umuhimu wa kistratejia.
-
Baqaei: Mashinikizo ya kisiasa hayawezi kudhoofisha haki ya Iran ya kurutubisha urani
Feb 15, 2026 04:28Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa haki "isiyoweza kubatilishwa" ya Iran ya kurutubisha madini ya urani haiwezi kudhoofishwa na mashinikizo ya kisiasa.
-
Rais Pezeshkian: Nchi za eneo zinaweza kutatua matatizo yao bila kusimamiwa
Feb 14, 2026 23:57Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kwamba kuanzisha amani na utulivu ndiyo "njia ya maisha kwa sayari hii ndogo," akisisitiza kuwa nchi za eneo zinaweza kutatua matatizo yao bila kusimamiwa na kwamba, hakuna nchi itakayofaidika na vita, migogoro, vurugu, na umwagaji damu.
-
Tehran yahimiza marekebisho 'makubwa' katika mbinu 'zisizojenga' za EU
Feb 14, 2026 03:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi, amesema Umoja wa Ulaya unahitajika kufanya marekebisho makubwa katika mbinu zake "zisizo za kujenga" kuhusu Tehran.
-
Kwa nini Grossi amekiri haki ya Iran ya kurutubisha urani?
Feb 13, 2026 07:51Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) amekiri kwamba, Iran kama nchi iliyotia saini Mkataba wa Kuzuia Uenezaji wa Silaha za Nyuklia (NPT), ina haki ya kurutubisha urani.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Nchi tatu za Ulaya zilishiriki katika ghasia za Iran
Feb 13, 2026 07:19Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amesema kuwa nchi tatu za Ulaya, yaani Uingereza, Ufaransa, na Ujerumani, zimehusika katika uchochezi na machafuko ya karibuni dhidi ya Iran. Amesema kwamba, kwa mtazamo wa wananchi wa Iran, nchi hizo zimeshirikiana na watenda jinai wakuu katika machafuko hayo.
-
Iran yatuma satelaiti ya “Jam‑e Jam 1” angani, hatua muhimu kwa utangazaji wa kitaifa
Feb 13, 2026 07:05Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) limetuma kwa mafanikio satelaiti yake ya kwanza maalumu kwa utangazaji, iitwayo “Jam‑e Jam 1”, inayojulikana kimataifa kama “Iran DBS”. Hatua hiyo inaashiria ngazi mpya ya kimkakati katika kuimarisha miundombinu ya vyombo vya habari vya Iran kupitia anga za juu.
-
Kiongozi Muadhamu awashukuru wananchi kwa kuwakatisha tamaa maadui katika maandamano ya mamilioni ya watu
Feb 13, 2026 03:51Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amewasifu na kuwapongeza wananchi wa Iran kwa kujitokeza kwa wingi kote nchini katika maandamano ya maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kusema kuwa maandamano hayo yamewakatisha tamaa maadui.
-
Mkuu wa IAEA: Iran-mwanachama wa NPT, ina haki ya kurutubisha urani
Feb 12, 2026 22:34Rafael Grossi, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA), amesema katika mahojiano na gazeti la Financial Times kwamba, Iran kama nchi iliyotia saini Mkataba wa Kuzuia Uenezaji wa Silaha za Nyuklia (NPT), ina haki ya kurutubisha urani.