-
Rouhani: Iran haijaona nia njema ya utawala mpya wa Marekani
Feb 11, 2021 08:59Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema taifa hili halijashuhudia nia njema wala mabadiliko ya kivitendo ya sera za Marekani mkabala wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Malengo ya madai ya kukaririwa ya viongozi wa Saudi Arabia dhidi ya Iran
Feb 11, 2021 07:57Faisal bin Farhan al-Saud, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Saudi Arabia amedai kuwa, miradi ya nyuklia ya Iran yenye malengo ya amani na uwezo wa kiulinzi wa taifa hili ni tishio kwa amani na usalama wa eneo la Asia Magharibi.
-
"Mlango wa fursa kwa Marekani kurekebisha makosa ya Trump unakaribia kujifunga"
Feb 10, 2021 20:06Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Iran amesema iwapo Marekani na nchi za Ulaya zitaendelea kujikokota katika utekelezaji na kufungamana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, basi Jamhuri ya Kiislamu karibuni hivi itachukua hatua nyingine mpya za kupunguza uwajibikaji wake katika mapatano hayo.
-
Luteka ya 'Mtume Mtukufu 16' yaanza kusini mwa Iran
Feb 10, 2021 20:05Kikosi cha Nchi Kavu cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC kinatazamiwa kuanza mazoezi ya kijeshi yaliyopewa jina la Mtume Mtukufu 16 katika maeneo ya kusini magharibi mwa Iran.
-
Rouhani: Kusimama kidete taifa kubwa la Iran kulipelekea Trump aangushwe
Feb 10, 2021 09:49Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Kusimama kidete wanachi wa Iran na tadbiri ya serikali ni mambo ambayo yalipelekea serikali iliyopita ya Marekani kushindwa katika sera za vikwazo na mashinikizo ya juu kabisa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran."
-
Maadhimisho ya Bahman 22, nembo ya umoja na nguvu laini za taifa la Iran mbele ya maadui
Feb 10, 2021 08:21Leo Jumatano, Februari 10, 2021 zimefikia kileleni sherehe za Bahman 22 za ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran. Sherehe hizo ni kumbukumbu ya moja ya matukio muhimu sana katika historia ya taifa la Iran. Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yalipata ushindi tarehe 11 Februari 1979 kwa uongozi wa mwanachuoni shujaa, Imam Khomeini MA.
-
Maadhimisho ya mwaka 42 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu yanaendelea kote nchini
Feb 10, 2021 05:40Sambamba na kutimia mwaka 42 tangu Mapinduzi ya Kiislamu yalipopata ushindi nchini Iran chini ya uongozi wa hayati Imam Ruhullah Khomeini, wananchi wa Iran tangu mapema leo asubuhi wameghariki katika sherehe za kuenzi na kuadhimisha tukio hilo ambazo mwaka huu zinafanyika kwa sura tofauti kutokana na sheria kali za kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona.
-
AEIO yasema Iran itazindua miradi 50 ya nyuklia karibuni
Feb 09, 2021 23:00Mkuu wa Taasisi ya Atomiki ya Iran (AEOI) amesema Jamhuri ya Kiislamu itazindua miradi 50 ya mafanikio ya sekta ya nyuklia ya taifa hili karibuni hivi.
-
Mihimili mikuu minne ya mazungumzo ya mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen na viongozi wa Iran mjini Tehran
Feb 09, 2021 10:30Martin Griffiths, mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Yemen akiwa katika safari yake hapa mjini Tehran amekutana na kufanya mazungumzo na maafisa wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kujadiliana nao kuhusiana na vita dhidi ya Yemen.
-
Rais Rouhani azindua mpango wa kitaifa wa chanjo ya corona Iran
Feb 09, 2021 07:42Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo amezindua mpango wa kitaifa wa chanjo ya corona ambapo amempongeza Waziri wa Afya Daktari Saeed Namaki kwa kumdunga mwanae wa kiume chanjo ya kwanza kabisa.