-
Zarif: Marekani sharti itekeleze wajibu wake kwa kurejea katika JCPOA
Feb 02, 2021 00:16Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani haina budi kutekeleza wajibu na majukumu yake kwa kurejea katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Spika wa Bunge la Iran: Imam Khomeini alihuisha tena Uislamu na heshima ya Waislamu duniani
Feb 01, 2021 08:31Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Imam Khomeini (MA) alihuisha tena Uislamu na izza na heshima ya Waislamu ulimwenguni.
-
Khatibzadeh: Hakutakuweko mazungumzo ya pande mbili baina ya Iran na Marekani
Feb 01, 2021 08:29Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili halitafanya mazungumzo na serikali ya Marekani.
-
Mapinduzi ya Kiislamu; miaka 42 ya ukakamavu mkabala na mashinikizo na kuvuka kipindi kigumu
Feb 01, 2021 07:56Miaka 42 iliyopita taifa kubwa la Iran huku likiwa limejizatiti kwa imani thabiti na matumaini ya kuwa na mustkabali mzuri, na bila ya kutegemea dola lolote lenye nguvu duniani, lilifanikiwa kuweka nyuma kipindi kigumu na muhimu kwenye historia yake na hatimaye kufanikiwa kufikia kwa kishindo ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Rais Rouhani: Imam Khomeini MA amewaonesha walimwengu rasilimali ya kijamii
Feb 01, 2021 04:50Rais Hassan Rouhani amesema kuwa, Imam Khomeini MA, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewaonesha walimwengu rasilimali ya kijamii ya Iran.
-
Amir Abdolahian: Iran itaendelea kuunga mkono usalama wa Iraq kwa nguvu zake zote
Feb 01, 2021 04:43Msaidizi maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, Iran inauhesabu usalama wa jirani yake Iraq kuwa ni sawa na usalama wake, hivyo itatumia nguvu zake zote kuunga mkono usalama wa nchi hiyo.
-
Dakta Zarif: Iran iko tayari kusahilisha mazungumzo baina ya Taliban na serikali ya Afghanistan
Jan 31, 2021 23:14Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran iko tayari kuandaa mazingira na kusahilisha mazungumzo baina ya kundi la wanamgambo wa Taliban na serikali ya Afghanistan.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu azuru haram tukufu ya Imam Khomemeini (M.A)
Jan 31, 2021 04:26Sambamba na kuanza maadhimisho ya alfajiri kumi na katika kukaribia maadhimisho ya mwaka wa 42 wa ushindi mtukufu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu mapema leo asubuhi amezuru katika haram tukufu la mwasisi mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu na kuenzi kumbukumbu ya imamu huyo adhimu wa taifa la Iran kwa kusali na kusoma Qurani.
-
Rouhani: Serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inatetea wanyonge
Jan 31, 2021 07:34Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislmu ya Iran ametoa pongezi zake kwa mnasaba wa kuwadia mwaka wa 42 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kusema: Seikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaunga mkono na kuwatetea wanyonge.
-
Iran yajibu bwabwaja za Ufaransa juu ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Jan 30, 2021 23:56Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema silaha za Ufaransa na nchi nyingine za Magharibi ndilo chimbuko kuu la ukosefu wa uthabiti katika eneo la Ghuba ya Uajemi.