-
Rouhani: Taifa la Iran lilisambaratisha udikteta na ubeberu
Jan 30, 2021 08:50Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Taifa la Iran kwa mapambanao na muqawama limeweza kusambaratisha ubeberu."
-
Chanjo ya Iran ya COVID-19 inaweza kukabiliana na 'kirusi cha Uingereza'
Jan 30, 2021 08:46Chanjo ya Iran ya COVID-19 au corona ambayo majaribio yake yanakaribia kumalizika ina uwezo wa kukabiliana na aina mpya ya kirusi cha corona ambacho kimeibuka Uingereza.
-
Kustawi sekta ya nyuklia ya Iran yenye malengo ya amani, bila kujali mapatano ya JCPOA
Jan 30, 2021 08:22Sekta ya miradi ya nyuklia ya Iran inaendelea kuimarishwa kwa malengo ya amani licha ya kuwepo shaka na madai yasiyo na msingi ya Marekani na nchi tatu za Ulaya zilizosalia katika mapatano ya JCPOA, jambo linalothibitisha wazi kwamba miradi hiyo itaendelea kuimarika iwe ni kwa msingi wa mapatano ya JCPOA au la.
-
Iran: Njia pekee ya kurejesha utulivu katika eneo hili, ni ushirikiano
Jan 30, 2021 00:56Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, njia pekee ya kuweza kurejesha utulivu katika eneo hili ni ushirikiano.
-
Iran: Ni Marekani ndiyo yenye wajibu wa kurudi kwenye JCPOA
Jan 29, 2021 09:43Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa, hivi sasa ni Marekani ndiyo yenye wajibu wa kurejea kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kutekeleza ahadi na majukumu yake.
-
Iran na Kenya zasisitiza kupanuliwa ushirikiano kati ya mashirika ya teknolojia ya nchi mbili
Jan 29, 2021 09:41Makamu wa Rais wa Iran anayeshughulikia masuala ya sayansi na teknolojia, Dakta Sorena Sattari amesisitiza kupanuliwa ushirikiano wa kiteknolojia kati ya mashirika ya Iran na Kenya.
-
Iran yasema huenda ikapunguza kiwango cha ushirikiano wake na IAEA
Jan 28, 2021 23:22Mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mashirika ya kimataifa yenye makao yao Vienna amesema yumkini Tehran itatazama upya kiwango cha ushirikiano wake na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA.
-
Rais Rouhani: Iran sasa hivi inapigana vita vya kulazimishwa vya kiuchumi
Jan 28, 2021 08:04Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa sasa hivi Tehran inapigana vita vya kutwishwa vya kiuchumi na kusisitiza kuwa, inabidi taifa na wananchi wla Iran wapongezwe kwa miaka yao 42 ya muqawama, kusimama kidete, subira, kujijenga na kuilinda vizuri nchi yao.
-
Iran yaitaka serikali mpya ya Marekani isisahau kufeli vibaya siasa za Trump
Jan 28, 2021 07:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtaka waziri mpya wa mambo ya nje wa Marekani asiwe mwepesi wa kusahau kufeli vibaya siasa za Donald Trump mbele ya Iran na kusema kuwa, Tehran inaendelea kuheshimu mapatano ya nyuklia ya JCPOA licha ya Marekani kujitoa.
-
Meja Jenerali Salami: IRIB ni kitovu cha kukabiliana na vita visivyo na mlingano vya dunia dhidi ya Iran
Jan 28, 2021 04:27Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inakabiliwa na hujuma za aina mbalimbali na vita laini vya hatua zisizo za kijeshi vya dunia dhidi yake; na akaongeza kuwa, Shirika la Utangazaji IRIB ni kitovu cha kukabiliana na vita hivyo visivyo na mlingano na ni mlengwa wa hatari mbalimbali.