-
Mkutano wa 34 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu kufanyika kwa njia ya intaneti
Oct 05, 2020 01:16Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu amesema Mkutano wa 34 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu utafanyika kwa njia ya intaneti kuanzia Oktoba 29 hadi Novemba 3 kwa mnasaba wa Maulid ya Mtume Muhammad SAW na Wiki ya Umoja wa Kiislamu.
-
Rouhani: Uhusiano wa Iran na Kuwait utaendelea kuwa wa kirafiki
Oct 05, 2020 01:12Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtumia ujumbe wa pongezi Sheikh Nawaf Al-Ahmad Al-Jaber Al-Sabah, Amiri mpya wa Kuwait.
-
Bwabwaja mpya za Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Saudi Arabia dhidi ya Iran
Oct 04, 2020 08:25Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Saudi Arabia kwa mara nyingine tena amekariri madai ya kipuuzi na yasiyo na msingi wowote dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran akutana na amir mpya wa Kuwait
Oct 04, 2020 08:24Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran aliyeko safari nchini Kuwaiot leo amekutana na kufanya mazungumzo na amir mpya wa nchi hiyo Nawaf Al-Ahmad Al-Jaber Al-Sabah.
-
Zaidi ya wagonjwa 3,000 wapya wa corona wagunduliwa Iran; vifo vipya 211 vyaripotiwa
Oct 04, 2020 08:23Msemaji wa Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu ya Iran ametangaza kuwa, zaidi ya wagonjwa wapya elfu tatu (3,000) wa COVID-19 wamegunduliwa humu nchini katika kipindi cha masaa 24 yaliyopita.
-
Balozi: Russia iko tayari kuiuzia Iran ngao ya makobora ya S-400
Oct 04, 2020 04:03Balozi wa Russia mjini Tehran amesema nchi yake iko tayari kuiuzia Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mfumo wa ulinzi wa makobora wa S-400 mara tu vikwazo vya silaha vya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa dhidi ya nchi hii vitakapofikia tamati Oktoba 18 mwaka huu.
-
Rouhani: Uchumi wa Iran umeupiku wa Ujerumani wakati wa corona
Oct 03, 2020 23:52Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema uchumi wa Jamhuri ya Kiislamu katika kipindi hiki cha janga la corona umeupiku ule wa Ujerumani na kusisitiza kuwa, uchumi wa taifa hili utastawi zaidi kufikia Machi mwaka ujao 2021.
-
Mashirika ya ndege ya Iran na Ujerumani yaanza safari baina ya nchi mbili
Oct 03, 2020 10:35Ubalozi wa Iran mjini Berlin umetangaza habari ya kuanza safari za ndege za mashirika ya ndege ya Iran na Ujerumani.
-
Zarif: Jamii ya kimataifa lazima iishurutishe Israel iangamize silaha zake za atomiki
Oct 03, 2020 01:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaka jamii ya kimataifa iulazimu utawala wa Kizayuni wa Israel usaini mara moja Mkataba wa Kuzuia Usambazwaji Silaha za Nyuklia (NPT) na uangamize maghala yake ya silaha za atomiki.
-
Iran yaionya Marekani dhidi ya mahesabu ghalati
Oct 02, 2020 08:26Msemaji wa Wizara ya Mambo ya nchi za Nje ya Iran amesema kuwa mahesabu yasiyo sahihi ya Marekani ndiyo sababu ya kushindwa kwake mbele ya taifa la Iran tangu baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu hapa nchini.