-
Amir-Abdollahian: Israel inapanga njama ya kuigawanya vipande vipande Saudi Arabia
Oct 02, 2020 04:37Msaidizi maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema: Utawala wa Kizayuni unapanga njama ya kuigawanya vipande vipande Saudi Arabia.
-
Iran: Historia haitowasamehe wauaji na wasaliti
Sep 30, 2020 23:02Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema kuwa, historia haiwezi kamwe kuwasamehe wauaji na wasaliti.
-
Rouhani: Mdahalo wa Urais umefichua matatizo yanayoikabili Marekani
Sep 30, 2020 09:21Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mdahalo wa kwanza wa wagombea wawili wa urais katika uchaguzi utakaofanyika Novemba mwaka huu nchini Marekani, Donald Trump wa chama cha Rebulican na Joe Biden wa Democratic umefichua kina cha matatizo na changamoto zinazoikabili serikali ya Washington.
-
Iran yaadhimisha Siku ya Kufungamana na Watoto wa Palestina
Sep 30, 2020 09:19Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo Jumatano ya Septemba 30 (tarehe 9 Mehr kwa mujibu wa kalenda ya Kiirani ya Hijria Shamsia), imeadhimisha Siku ya Kufungamana na Watoto wa Kipalestina.
-
Tuhuma za ugaidi za Saudi Arabia dhidi ya Iran; kukaririwa madai ya kipuuzi na ya maagizo
Sep 30, 2020 08:08Kila baada ya muda fulani, viongozi wa Saudi Arabia hukariri madai ya kipuuzi na yasiyo na maana dhidi ya Iran, ikiwa ni juhudi za kujikosha na hatua zao za kuhatarisha amani na usalama katika eneo la Asia Magharibi na ugaidi ambao umeibuka na kutokea kutokana msaada ya kifedha na fikra za kitakfiri ambazo chimbuko lake ni Saudia.
-
Iran yakanusha madai yasiyo na msingi kuhusu haki za binadamu
Sep 30, 2020 03:44Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva, Baghaei Hamane amesema madai yaliyotolewa na baadhi ya nchi za Magharibi kuhusu haki za binadamu Iran hayana ukweli wala ushahidi wenye mashiko.
-
Iran yaitaka Saudia kuchagua njia sahihi, iache porojo na propanda
Sep 30, 2020 01:52Msemaji wa Wizara ya Mambo ya nchi za Nje ya Iran amejibu madai ya uongo yaliyotolewa na Saudi Arabia ikisema kuwa imenasa kundi la magaidi lenye mfungamano na Iran na kusema: Watawala wa Saudia wanapaswa kuchagua njia ya ukweli hekima na busara badala ya kueneza uzusha na imlaa wanazopewa na madola mengine.
-
Madai ya Ulaya kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu nchini Iran; hayana uhalali wowote wa kisheria
Sep 29, 2020 08:49Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Nje katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran imeyataja madai yasiyo na msingi ya nchi za Ulaya kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu nchini Iran kuwa hayana uhalali wowote wa kisheria.
-
Madai ya kufanyika mazungumzo kati ya Iran na Marekani; propaganda za matumizi ya ndani ambazo labda zimfae Trump
Sep 29, 2020 04:49Gazeti la Al-Jarida linalochapishwa nchini Kuwait limechapisha habari inayodai kuwa Iran na Marekani zimeanza mazungumzo nchini Oman ili kuweza kufikia mapatano mapya kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na hata ziko tayari pia kusaini mkataba wa ushirikiano.
-
Salami: Tadbiri na busara za Kiongozi Muadhamu zimesambaratisha njama za maadui
Sep 28, 2020 22:00Meja Jenerali Hussein Salami, Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) amesema kuwa, tadbiri na busara za Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu zimefelisha njama na malengo ya kisiasa ya adui katika Ulimwengu wa Kiislamu.