-
Uwezo wa jeshi la majini la Iran, udharura wa kijilinda na kukabiliana na adui
Sep 28, 2020 21:58Uwezo wa jeshi la majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika pwani ndefu ya kaskazini na kusini mwa nchi una umuhimu mkubwa katika ngazi ya kikanda na kimataifa.
-
Iran yakadhibisha madai ya kufanya mazungumzo na Marekani nchini Oman
Sep 28, 2020 08:47Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekanusha vikali taarifa zinazodai kuwa Jamhuri ya Kiislamu imefanya mazungumzo na Marekani huko nchini Oman.
-
Kamanda Sharif: Viongozi vibaraka wa Kiarabu wamethibitisha ukibaraka wao kwa Wazayuni
Sep 28, 2020 04:21Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amezungumzia hatua ya nchi mbili za Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na Bahrain ya kutangaza uhusiano wao wa kawaida wa utawala wa Kizayuni na kusema kuwa, viongozi wa nchi hizo wamethibitisha kivitendo ukibaraka wao kwa Wazayuni.
-
Zarif: Vikwazo vya Marekani ni kielelezo cha "ugaidi wa kitiba"
Sep 27, 2020 23:56Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia athari mbaya za vikwazo vya Marekani katika shughuli za Iran za kukabiliana na maambukizi ya virusi vya corona na kusema kuwa hatua hizo za Washington ni kielelezo cha ugaidi katika masuala ya tiba.
-
Mazungumzo ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq mjini Tehran; kufuatilia makubaliano ya Tehran - Baghdad
Sep 27, 2020 22:57Uhusiano wa Iran na Iraq umeingia kwenye mkondo wake wa kiistratijia licha ya mashinikizo na uingiliaji wa Marekani wa kutaka kuzuia jambo hilo.
-
Iran yazindua kombora jipya la balestiki lifikalo umbali wa kilomita 700 baharini
Sep 27, 2020 09:36Kombora jipya la balestiki la baharini lililoundwa na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC liitwalo Zulfiqar Basir limezinduliwa leo katika maonyesho ya uwezo wa kistratejia ya vikosi vya anga za mbali vya jeshi hilo.
-
"Shambulizi la Marekani dhidi ya mashujaa wa kukabiliana na ugaidi ni tusi kwa Iraq"
Sep 27, 2020 04:33Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema shambulizi la jeshi la Marekani lililoua shahidi mashujaa wa kupambana na ugaidi katika eneo la Asia Magharibi mapema mwaka huu ni tusi kwa mamlaka ya kujitawala Iraq.
-
Rais Rouhani: Uwepo wa majeshi ya Marekani Asia Magharibi ni pigo kwa usalama na uthabiti wa eneo
Sep 27, 2020 01:12Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uwepo wa majeshi ya Marekani nchini Iraq, Afghanistan na katika mataifa ya kusini mwa Ghuba ya Uajemi ni pigo kwa amani na uthabiti wa eneo.
-
Silaha za nyuklia za Israel ni tishio kwa usalama wa dunia
Sep 27, 2020 01:12Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa utawala wa Kkizayuni wa Israel unaomiliki makumi ya makombora ya nyuklia ndio tishio kubwa zaidi la amani na usalama wa eneo la magharibi mwa Asia.
-
Kurejea kwenye mapatano ya nyuklia ya JCPOA, hatua ya kwanza inayopasa kuchukuliwa na Marekani
Sep 27, 2020 00:38Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akiyataja mapatano ya nyuklia ya JCPOA kuwa ndiyo mapatano mabaya zaidi kwa nchi yake na hatimaye mwezi Mei mwaka 2018 aliiondoa nchi hiyo kwenye mapatano hayo na kuiwekea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vikwazo vikali. Hivi sasa Joe Biden mgombea wa kiti cha urais wa chama cha Democratic huko Marekani amesema iwapo atashinda uchaguzi huo wa mwezi Novemba mwaka huu atairejesha Marekani katika mapatano hayo ya JCPOA.