-
Balozi wa Iran UN: Vikwazo vya Marekani ni jinai dhidi ya binadamu
Sep 23, 2020 03:49Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa iliyoko mjini Geneva Uswisi amesema vikwazo vya upande mmoja vya Marekani dhidi ya Iran ni jinai dhidi ya binadamu.
-
Rais Rouhani: Sasa ni wakati wa walimwengu kusema "hapana" kwa ubabe na utumiaji mabavu
Sep 23, 2020 00:34Rais Hassan Rouhani amesema: "Marekani haiwezi kutulazimisha kufanya mazungumzo wala kuanzisha vita dhidi yetu" na akasisitiza kwamba, sasa ni wakati wa walimwengu kusema "la" kwa ubabe na utumiaji mabavu.
-
Kukomesha hatua haribifu za Marekani; njia pekee ya kulinda maamuzi ya pande kadhaa
Sep 22, 2020 22:04Athari na matokeo ya hatua za upande mmoja za Maekani, zimelifanya dola hilo la magharibi kuwa tishio kubwa zaidi la amani na usalama wa dunia.
-
Hatami: Lengo la kuuliwa kigaidi Luteni Jenerali Soleimani ni kupunguza kudhalilishwa Marekani
Sep 22, 2020 08:39Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, lengo la adui la kumuua kigaidi na kidhulma Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH ni kupunguza kudhalilishwa zaidi Marekani katika eneo hili.
-
Sababu za vita vya kulazimishwa na umuhimu wa kujitetea kutakatifu
Sep 22, 2020 04:59Utawala wa Baath wa Iraq tarehe 21 Septemba mwaka 1980 ulivamia ardhi ya Iran na kuanzisha vita dhidi ya Jamhuri iliyokuwa changa ya Kiislamu hapa nchini. Vita hivyo vilivyoendelea kwa kipind cha miaka 8 vilianzishwa kwa mujibu wa mpango maalumu na kwa baraka na amri ya Marekani kwa ajili ya kuiondoa madarakani Jamhuri ya Kiislamu.
-
Rais Rouhani: Mafanikio ya miaka 40 ya muqawama ni matokeo ya kusimama kidete taifa la Iran
Sep 22, 2020 04:28Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyataja matunda ya miaka 40 ya muqawama na kusimama imara kuwa yametokana na maono wa mbali wa taifa la Iran mkabala na maadui.
-
Zarif: Wananchi wa Iran wanajivunia miaka 40 baada ya mashambulizi ya Saddam
Sep 21, 2020 23:06Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran sambamba na maadhimisho ya kumbukumbu ya kuanza vita vya kulazimishwa vya utawala wa Baath wa Iraq dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa: Wananchi wa Iran wanasimama kwa fakhari miaka 40 baada ya mashambulizi ya Saddam yaliyoungwa mkono na kusaidiwa na nchi mbalimbali.
-
Grossi apongeza mapatano yaliyofikiwa kati ya wakala wa IAEA na Iran
Sep 21, 2020 23:05Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) kwa mara nyingine tena amepongeza mapatano yaliyofikiwa baina ya wakala huo na Jamhuri ya Kiislamu Iran.
-
Kiongozi Muadhamu: Kujihami kutakatifu ni sehemu ya utambulisho wa kitaifa wa Iran
Sep 21, 2020 07:48Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amezungumzia ushindi mkubwa na wa wazi wa taifa la Iran katika Vita vya Kujitetea Kutakatifu na kusema kuwa: Kujitetea kutakatifu ni sehemu ya utambulisho wa kitaifa wa Iran.
-
Kulipiza kisasi cha kuuliwa shahidi Luteni Jenerali Qassim Suleimani; uhakika uliokwisha amuliwa na usio na mzaha
Sep 21, 2020 02:44Rais Donald Trump wa Marekani, ambaye hadi sasa amesha jaribu kutumia mbinu tofauti ili kuitisha na kuitia hofu Iran, katika siku za karibuni ameibuka tena na kutoa maneno mengine ya vitisho dhidi ya taifa hili.