-
Iran: Mgogoro wa Afghanistan hauwezi kutatuliwa kijeshi
Sep 14, 2020 03:28Mshauri wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hakuna ufumbuzi wa kijeshi katika mgogoro wa Afghanistan.
-
Dkt. Velayati: Kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel ni khiyana kwa wananchi wa Palestina
Sep 13, 2020 22:11Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Mwamko wa Kiislamu amelaani hatua ya Bahrain ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel na kusisitiza kuwa, hatua hiyo ni upuuzaji na khiyana kwa malengo ya wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Rais Rouhani: Marekani imeshindwa vibaya katika njama zake dhidi ya Iran
Sep 13, 2020 08:24Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria hatua haribifu za Marekani dhidi ya uchumi wa Iran na kusema kuwa, adui siyo tu kwamba, ameshindwa kufikia malengo yake ya kistratejia, bali amepata pigo lisilo na kifani katika uwanja huo.
-
Amir-Abdollahian: Hatua ya Bahrain ya kuanzisha uhusiano na Israel ni ‘khiyana kubwa’
Sep 12, 2020 21:53Msaidizi Maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hatua ya Bahrain ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel ni ‘khiyana kubwa’ kwa kadhia nzima ya juhudi za kuukomboa mji wa Quds toka katika makucha ya Wazayuni.
-
Rouhani: White House haifahamu chochote kuhusu ubinadamu
Sep 12, 2020 07:03Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Ikulu ya White House ya Marekani haina ufahamu wowote kuhusu utu na ubinadamu.
-
Iran: Kuanzisha uhusiano na Israel ni fedheha na kujidhalilisha
Sep 12, 2020 07:01Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imekosoa hatua ya kuanzishwa uhusiano rasmi wa kidiplomasia kati ya Bahrain na utawala haramu wa Israel na kusisitiza kuwa, kitendo hicho ni cha fedheha na kudhalilisha.
-
Spika Qalibaf: Mabeberu wana uadui uliopindukia dhidi ya Mtume Muhammad (saw)
Sep 12, 2020 02:02Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa hujuma na vitendo vya mabeberu vya kumvunjia heshima Mtume Muhammad (saw) ni kielelezo cha uadui uliokita mizizi wa mustakbirina dhidi ya ujumbe wa rehma na upendo wa Mtume huyo wa Mwenyezi Mungu.
-
Meli mbili za Iran ziko njiani kulizunguka bara la Afrika kuipelekea mafuta Venezuela
Sep 11, 2020 20:13Taarifa za vyombo mbalimbali vya habari zimesema kuwa, meli mbili za mafuta za Iran hivi sasa ziko njiani kulizunguka bara la Afrika kwa ajili ya kuifikishia mafuta Venezuela ambayo iko chini ya mashinikizo makubwa ya Marekani.
-
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Tehran haijali nani atakua rais wa Marekani, Trump au Biden
Sep 11, 2020 06:25Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran amesema kuwa si suala muhimu mwa Tehran kujua nani atakuwa rais wa Marekani na kuongeza kuwa, katika kipindi chote cha miongo minne iliyopita Marekani imekuwa ikiingilia chaguzi zinazofanyika katika nchi mblimbali duniani.
-
Zarif amhutubu Trump: Hakuna vita vibaya na vita vizuri
Sep 11, 2020 03:42Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemhutubu Rais Donald Trump wa Marekani na kumwambia kwamba, hakuna kitu kinachofahamika kama vita vizuri, na kusisitiza kuwa vita vyote ni vibaya.