-
Wanasheria nchini Iran walaani kuvunjiwa heshima Mtume Muhammad SAW
Sep 09, 2020 03:37Wanasheria hapa nchini Iran wamelaani vikali hatua ya jarida la Kifaransa la Charlie Hebdo ya kumvunjia heshima Bwana Mtume SAW.
-
Kikao cha sita cha Baraza Kuu la Ushirikiano wa Iran na Uturuki, fursa na maamuzi ya kistratijia
Sep 09, 2020 02:00Iran na Uturuki zinahesabiwa kuwa nchi mbili muhimu na zenye taathira kubwa katika eneo la magharibi mwa Asia, na matukio yote machungu na ya kusikitisha yaliyojiri katika eneo hilo hayajawa na taathira yoyote katika uhusiano wa nchi hizo mbili.
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa kulaani kuvunjiwa heshima Bwana Mtume SAW
Sep 08, 2020 22:27Dhambi kubwa na isiyosameheka ya gazeti moja la Ufaransa ya kumvunjia heshima Bwana Mtume SAW, kwa mara nyingine tena imedhihirisha chuki, adawa na ushari wa vyombo vya kisiasa na kiutamaduni vya Ulimwengu wa Magharibi dhidi ya Uislamu na jamii ya Waislamu.
-
Marais wa Iran na Uturuki wasisitiza udharura wa kuimarisha ushirikiano wa pande mbili, kimataifa
Sep 08, 2020 22:04Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki wametoa taarifa mwishoni mwa kikao cha sita cha Baraza Kuu la Uhusiano wa Kistratijia wa nchi hizo mbili wakisisitiza udharura wa kupanuliwa na kuimarishwa ushirikiano wa pande mbili, kikanda na kimataifa katika fremu ya kudhamini maslahi ya pamoja ya Tehran na Ankara.
-
Waziri wa Afya wa Iran asisitiza ulazima wa kukabiliana na vikwazo haramu vya Marekani
Sep 08, 2020 08:40Waziri wa Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu wa Iran ametaka kutolewa wito wa kimataifa wa kuhitimishwa vikwazo vilivyo kinyume cha sheria na vya upande mmoja vya Marekani.
-
Kiongozi Muadhamu alaani njama za Marekani na Wazayuni za kumvunjia heshima Mtume (saw)
Sep 08, 2020 03:31Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amelaani vikali hatua ya jarida la Ufaransa la Charlie Hebdo ya kuchapisha tena vibonzo vinavyomvunjia heshima Mtume Muhammad (SAW) na kusisitiza kuwa: Njama hizo za Marekani na utawala wa Kizayuni ni dhambi isiyosameheka.
-
Rais Rouhani: Wananchi wa Iran kamwe hawatoipigia magoti Marekani
Sep 07, 2020 22:09Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amegusia mashinikizo ya kidhalimu ya Marekani dhidi ya Tehran na kusema kuwa, wananchi wa Iran kamwe hawatosalimu amri mbele ya uistikbari wa dola hilo la kibeberu.
-
Baraza la Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu lalaani kuivunjia heshima Qur'ani na Bwana Mtume SAW
Sep 07, 2020 10:02Baraza la Kimataifa la Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu limelaani kitendo cha jarida la Ufaransa la Charlie Hebdo cha kumvunjia heshima tena Bwana Mtume Muhammad SAW na vile vile kitendo kichafu kilichofanywa nchini Sweden cha kuuchoma moto Msahafu.
-
Ayatullah Raisi: Marekani na madola ya Ulaya yanaunga mkono magendo ya madawa ya kulevya
Sep 07, 2020 03:17Mkuu wa Vyombo vya Mahakama nchini Iran amesema kuwa, Tehran ina nyaraka za siri zinazoonyesha kuwa, Marekani na madola ya Ulaya yanaunga mkono magendo ya madawa ya kulevya.
-
Mazungumzo ya Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na Uswisi mjini Tehran
Sep 07, 2020 03:13Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uswisi leo asubuhi wamekutana na kufanya mazungumzo hapa mjini Tehran.