-
Ayatullah Raisi: Marekani na madola ya Ulaya yanaunga mkono magendo ya madawa ya kulevya
Sep 07, 2020 03:17Mkuu wa Vyombo vya Mahakama nchini Iran amesema kuwa, Tehran ina nyaraka za siri zinazoonyesha kuwa, Marekani na madola ya Ulaya yanaunga mkono magendo ya madawa ya kulevya.
-
Mazungumzo ya Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na Uswisi mjini Tehran
Sep 07, 2020 03:13Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uswisi leo asubuhi wamekutana na kufanya mazungumzo hapa mjini Tehran.
-
Safari ya Waziri wa Ulinzi wa India mjini Tehran; kuimarisha ushirikiano wa pamoja wa kijeshi
Sep 07, 2020 02:31Kuimarisha ushirikiano wa kiulinzi na kijeshi, ni mkakati na stratejia ambayo ikiunganishwa na kustawishwa uhusiano wa kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni na mambo hayo kuzingatia maslahi ya pande mbili inaweza kuongeza ukubwa wa stratejia ya ushirikiano wa kieneo.
-
Dkt. Velayati: Kuvunjiwa heshima Mtume SAW ni mwendelezo wa mipango michafu ya Marekani na Uzayuni wa Kimataifa
Sep 06, 2020 23:28Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Mwamko wa Kiislamu amesema kuwa, kuvunjiwa heshima Mtume SAW na gazeti la Charlie Hebdo la Ufaransa ni mwendelezo wa mipango na hatua haribifu za mhimili wa mbaya wa pande tatu wa Marekani, Uzayuni wa Kimataifa na kambi ya Magharibi katika kukabiliana na kuenea Uislamu.
-
Qalibaf: Taifa la Iran katu halitaamua iwe basi kwa hasara lilizosababishiwa na vikwazo vya Marekani
Sep 06, 2020 23:06Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuhalifu ahadi na makubaliano kulikofanywa na pande zingine katika makubaliano ya nyuklia ni mojawapo ya kumbukumbu chungu kwa Wairani na akasisitiza kwamba, taifa la Iran katu halitasamehe na kuamua iwe basi kwa hasara lilizopata kutokana na vikwazo vya Marekani.
-
Marajii Taqlidi walaani kuvunjiwa heshima Qur'an Tukufu na Mtume Muhammad SAW
Sep 06, 2020 06:55Marajii Taqlidi wa Waislamu wa Kishia wamelaani kitendo cha kuchomwa moto Qur'ani Tukufu huko nchini Sweden na kuvunjiwa heshima Mtume Muhammad SAW huko nchini Ufaransa.
-
Takribani wagonjwa 334,000 wa COVID-19 nchini Iran wamepata afueni
Sep 06, 2020 06:54Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu ya Iran imetangaza kuwa, wagonjwa waliopata afueni ya ugonjwa ya ugonjwa wa Covid-19 hapa nchini imefikia takribani watu 334,000.
-
Makombora ya Cruise ya Iran kuanza kupiga zaidi ya kilomita 1,000
Sep 06, 2020 03:19Waziri wa Ulinzi wa Iran amezindua mpango wa kuimarisha mfumo wa makombora ya cruise ya taifa hili yawe na uwezo wa kupiga zaidi ya kilomita 1,000.
-
Mwelekeo mwema wa uhusiano wa Iran na wakala wa IAEA
Sep 05, 2020 21:56Uhusiano wa Iran na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) katika muda wa mwaka mmoja na nusu uliopita yaani katika kipindi cha uongozi wa Mkurgenzi Mkuu Rafael Grossi ulikuwa wa mwelekeo mbaya kutokana na wakala huo kuathiriwa na mashinikizo ya kisiasa na kutoa baadhi ya madai yasiyo na ushahidi wala uthibitisho kuhusiana na masuala ya huko nyuma.
-
Iran yakaribisha mkutano wa makundi ya Wapalestina huko Beirut
Sep 05, 2020 06:45Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kikao cha pamoja cha makundi ya Wapalestina kilichofanyika katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut ni ishara kwamba viongozi wa Palestina wapo macho na wamesimama kidete mkabala wa utawala wa Kizayuni wa Israel pamoja na washirika wake.