-
Zarif: Safari ya Mkuu wa IAEA Iran haina uhusiano na 'Snapback Mechanism'
Aug 24, 2020 07:29Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema safari ya Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA), Rafael Grossi hapa nchini haina mfungamano wowote na utaratibu wa kurejesha vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran unaofahamika kama 'Snapback Mechanism'.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Kigezo huru cha Uislamu kwa ajili ya utawala na mfumo wa kijamii
Aug 24, 2020 02:36Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa kigezo huru cha Uislamu kwa ajili ya utawala na kujenga jamii kinategemea mambo na nguzo tatu ambazo ni imani, elimu na uadilifu.
-
Brig.Jen. Hatami: Uhusiano wa Iran na Russia ni kwa ajili ya amani na usalama katika eneo
Aug 24, 2020 02:13Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Brigedia Jenerali Amir Hatami amesisitiza kuwa, ushirikiano wa Iran na Russia umejengeka katika msingi wa kuaminiana na kustawisha amani na uthabiti katika eneo.
-
Kamalvandi: Maswali ya IAEA yanapaswa kuzingatia vigezo na kuwa na ushahidi
Aug 23, 2020 22:44Msemaji wa Shirika la Atomiki la Iran amesema kuwa, Tehran haiwazuii wakaguzi wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kutembelea vituo vyake vya nishati ya nyuklia lakini maswali yanayoulizwa na wakala huo yanapaswa kuzingatia vigezo na kuwa na ushahidi wa kutosha.
-
Kustawishwa ushirikiano wa Iran na Russia; mpambano baina ya fikra ya kushirikiana na ile ya kujitenga
Aug 23, 2020 07:12Kuimarishwa ushirikiano baina ya Iran na Russia ni hatua iliyochukuliwa hivi sasa katika mazingira ambayo Marekani inafanya njama za kila namna za kuzuia kuimarishwa uhusiano wa Iran na nchi nyingine.
-
Kiongozi Muadhamu: Uchumi wa nchi kwa namna yoyote ile haupaswi kufungamanishwa na matukio ya nje
Aug 23, 2020 07:11Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amebainisha kuwa, mipango ya uchumi kwa ajili ya nchi haipaswi kusimama na kusubiria kuondolewa vikwazo au matokeo ya uchaguzi wa nchi fulani na kusisitiza kwamba, uchumi wa nchi kwa namna yoyote ile haupaswi kufungamanishwa na matukio ya nje kwani hilo ni kosa la kistratejia.
-
Amir-Abdollahian: Hatua ya Imarati ya kuanzisha uhusiano na Israel ni kosa la kistratejia
Aug 23, 2020 06:59Mshauri maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, hatua ya utawala wa Imarati ya kuanzisha uhusiano rasmi na utawala haramu wa Israel ni kosa la kistratejia na kwamba, serikali ya Abu Dhabi inapaswa kubeba dhima ya yale yote yatakayosababishwa na hatua yake hiyo.
-
Jenerali Amir Hatami: Ushirikiano wa kijeshi wa Iran na Russia ni chanya
Aug 23, 2020 03:22Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema ushirikiano wa kiulinzi na kijeshi baina ya Jamhuri ya Kiislamu na Russia ni chanya na unaoendelea kuimarika.
-
Naibu Kamanda wa SEPAH azionya Imarati na utawala haramu wa Israel
Aug 22, 2020 19:33Naibu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran SEPAH amezionya Imarati na utawala haramu wa Israel na kusisitiza kwamba, Iran itatoa jibu kali kwa chokochoko yoyote ile.
-
Zarif: Serikali ya Trump imetengwa na kufedheheka tena katika medani ya kimataifa
Aug 21, 2020 06:38Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia upinzani wa jamii ya kimataifa dhidi ya hatua ya Marekani ya kutaka kutumia vibaya taratibu zilizowekwa kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA za kurejesha upya vikwazo ilivyokuwa imewekewa Iran na kusema, kwa mara nyingine tena serikali ya Trump imetengwa na kufedheheka katika medani ya kimataifa.