-
Rouhani: Kuendesha nchi bila kutegemea pato la mafuta ni kielelezo cha nguvu ya Iran katika vita vya kiuchumi
Jul 14, 2020 05:46Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kuendesha nchi hii bila ya kutegemea sana pato la mauzo ya mafuta ni kielelezo cha nguvu kubwa ya Iran katika medani ya vita vya kiuchumi.
-
Kuchunguzwa ukiukaji ahadi wa Ulaya katika Kamisheni ya Pamoja ya JCPOA; katika mwaka wa tano wa kutiwa saini makubaliano hayo
Jul 14, 2020 05:22Baada ya miaka 13 ya mazungumzo magumu ya kimataifa, hatimaye tarehe 14 Julai mwaka 2015 kulitiwa saini makubaliano ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Abdollahian: Utawala wa Aal-Khalifa uimarishe uhusiano wa Wabahrain, si Israel
Jul 14, 2020 03:36Mshauri wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) katika masuala ya kimataifa ameukosoa vikali utawala wa Aal-Khalifa wa Bahrain kwa kukanyaga haki za binadamu za raia wa nchi hiyo.
-
Rais Rouhani: Iran itaibuka mshindi katika vita vya kiuchumi vya Marekani
Jul 13, 2020 22:49Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ushirikiano na mshikamano uliopo miongoni mwa mihimili mitatu ya dola, bila shaka utaipelekea Iran kuibuka mshindi katika vita vya kiuchumi vya Marekani dhidi ya taifa hili.
-
Mousavi: Marekani haitafanikiwa kusukuma mbele gurudumu la siasa zake haramu
Jul 13, 2020 06:06Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ubeberu wa Marekani dhidi ya asasi za kimataifa hauwezi kuisaidia kusukuma mbele gurudumu la siasa zake zisizo za kisheria na kwamba, kinyume na mtazamo wa Rais Donald Trump, zama za utawala wa kisheria hazijamalizika.
-
Iran yaunda kifaa cha kugundua haraka zaidi wagonjwa wa corona wasio na viashiria vyovyote
Jul 13, 2020 03:08Watafiti na wataalamu wa Iran wamemevumbua kifaa kipya cha kugundua haraka waathiriwa wa corona bila ya kuwa na alama na viashiria vyovyote vya ugonjwa huo.
-
Hotuba ya Kiongozi Muadhamu katika mkutano na wabunge; sisitizo kuhusu majukumu na matarajio
Jul 13, 2020 03:06Ayatullah Sayyed Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu siku ya Jumapili alifanya mkutano kwa njia ya video na wabunge wa Awamu ya 11 ya Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran ambapo amelitaja bunge hilo kuwa ni 'dhihirisho la matumaini na matarajio ya wananchi."
-
Iran yakanusha uvumi wa kuiuzia China kisiwa
Jul 12, 2020 23:10Iran imekanusha uvumi kuwa imeiuzia China kisiwa chake cha Kish katika Ghuba ya Uajemi na hali kadhalika imekanusha madai kuwa imeafiki kuiuzia China mafuta ghafi ya petroli kwa bei rahisi.
-
Kiongozi Muadhamu: Pamoja na kuwepo vikwazo, maadui hawajaweza kufikia malengo yao dhidi ya Iran
Jul 12, 2020 08:04Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema adui amepoteza matumaini kutokana na namna taifa la Iran linavyokabiliana na kila harakati dhidi ya mfumo wa Kiislamu.
-
Iran kuzalisha makombora ya masafa marefu karibuni
Jul 12, 2020 03:22Kamanda wa Kikosi cha Anga cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kikosi hicho kitazalisha makombora ya masafa marefu hivi karibuni.