-
Zarif: Mauaji ya kimbari ya Waislamu wa Srebrenica yalitokana na Ulaya kufeli kutekeleza wajibu wake
Jul 11, 2020 23:07Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mauaji ya kimbari ya maelfu ya Waislamu wa Srebrenica yalifanyika kutokana na Ulaya kufeli kutekeleza majukumu yake ya msingi.
-
Iran: Mauaji ya Soleimani ni mfano wa wazi wa ugaidi wa kiserikali
Jul 11, 2020 06:39Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu katika Umoja wa Mataifa amesema mauaji ya kigaidi yaliyofanywa na jeshi la Marekani dhidi ya aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), Luteni Jenerali Qassem Soleimani akiwa ugenini nchini Iraq ni mfano wa wazi wa ugaidi wa kiserikali.
-
Kuwa tayari jeshi la Iran kwa ajili ya kukabiliana na wavamizi
Jul 11, 2020 03:45Brigedia Jenerali Aziz Nasirzadeh, Kamanda wa Jeshi la Anga la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia miaka 40 ya uhasama wa nchi za kibeberu dhidi ya Mapinduzi ya Kiislamu hapa nchini na kusisitzia kuwa, Jeshi la Iran limejitayarisha kikamilifu na halitamruhusu adui kufanya uchokozi wa aina yoyoye dhidi ya ardhi yake.
-
Mousavi: Vikwazo vya silaha dhidi yake vikirefushwa, Iran itatoa jibu kali
Jul 10, 2020 20:13Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema iwapo vikwazo vya silaha dhidi ya Iran vitarefushwa kufuatia mashinikizo ya Marekani basi Jamhuri ya Kiislamu itatoa jibu kali na muafaka.
-
COVID-19 nchini Iran: zaidi ya watu 215,000 wapata afueni
Jul 10, 2020 20:12Msemaji wa Wizara ya Afya ya Iran ametangaza kuwa, hadi hivi sasa waathirika laki mbili na 15 elfu ugonjwa wa COVID-19 au corona humu nchini wamepata afueni na kuruhusiwa kurejea nyumbani kutoka mahospitalini na katika vituo vya afya.
-
Brigedia Jenerali Nasirzadeh: Vikosi vya Iran havitaruhusu adui kuvamia ardhi yake
Jul 10, 2020 07:25Brigedia Jenerali Aziz Nasirzadeh Kamanda wa Jeshi la Anga la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria uadui wa miaka 40 wa madola ya kibeberu dhidi ya Mapinduzi ya Kiislamu na kusisitiza kwamba, majeshi ya Iran yamejiandaa kikamilifu na katu hayataruhusu adui kuvamia ardhi ya taifa hili.
-
Mauaji ya kigaidi ya Soleimani, ugaidi wa kiserikali wa Marekani na hatari dhidi ya usalama wa kimataifa
Jul 10, 2020 06:29Mauaji ya kigaidi yaliyofanywa na jeshi la Marekani dhidi ya aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu akiwa ugenini nchini Iraq ni kielelezo cha wazi cha ukiukaji wa sheria za kimataifa na ugaidi wa kiserikali wa Marekani.
-
Iran: Mauaji ya kigaidi ya Jenerali Soleimani yalikiuka Hati ya UN
Jul 10, 2020 03:03Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema mauaji ya kioga na kigaidi ya aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), Luteni Jenerali Qassem Soleimani yaliyofanywa na jeshi katili la Marekani mapema mwaka huu nchini Iraq ni ukiukaji wa wazi wa Hati ya Umoja wa Mataifa.
-
Iran: Kusema urongo na kueneza chuki ni katika sera za nje za Marekani
Jul 09, 2020 11:01Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekanusha vikali tuhuma kuwa Jamhuri ya Kiislamu imekiuka vikwazo vya silaha vya Umoja wa Mataifa na kusisitiza kuwa, Marekani inasema urongo.
-
Rouhani: Umoja na kujituma, ufunguo wa kusimama kidete dhidi ya maadui
Jul 09, 2020 11:00Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema umoja na jitihada ni mambo mawili ambayo yamefanikisha muqawama wa taifa hili dhidi ya maadui.