-
Iran na Syria zatiliana saini hati ya ushirikiano wa kijeshi na kiusalama
Jul 09, 2020 03:19Mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Waziri wa Ulinzi wa Syria wametiliana saini mjini Damascus hati ya ushirikiano wa pande kadhaa katika nyanja za kijeshi, kiulinzi na kiusalama.
-
Mousavi: Viongozi wa Iran na China wameazimia kustawisha uhusiano wa kistratejia
Jul 08, 2020 19:42Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa kwa mujibu wa mapatano ya mwaka 2016 kati ya Marais wa Iran na China, nchi mbili ziliweka wazi irada na azma yao ya kisiasa ya kustawisha na kupanua zaidi ushrikiano wa kistratejia na kuandaa ramani ya njia ya miaka 25 kati ya Tehran na Beijing ili kutayarisha uwanja mzuri wa ustawi wa pande zote katika uhusiano wa kisiasa na kiuchumi katika miaka ijayo.
-
Rouhani: Iran ina uhusiano mzuri na nchi jirani
Jul 08, 2020 11:35Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran ina uhusiano mzuri na nchi jirani.
-
Waandishi habari wa kigeni wataka vikwazo dhidi ya Iran viondolewe
Jul 08, 2020 11:33Waandishi habari wa vyombo vya habari vya kigeni nchini Iran wamalalamikia vikali kuendelea vikwazo vya kidhalimu vya Marekani dhidi ya Iran.
-
Nafasi ya Israel katika uharibifu uliofanyika kwenye kituo cha nyuklia cha Natanz, kuanzia uvumi hadi yakini
Jul 08, 2020 05:42Alkhamisi asubuhi, Behrouz Kamalvandi, Msemaji wa Taasisi ya Nishati ya Nyuklia ya Iran alitangaza habari ya kutokea ajali katika eneo moja lililokuwa linaendelea kujengwa la kitengo cha urutubishaji urani cha Shahid Mustafa Ahmadi kwenye kituo cha nyukilia ya Natanz humu nchini.
-
Sisitizo la Umoja wa Mataifa la kukiuka sheria mauaji dhidi ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani
Jul 08, 2020 02:02Mnamo Januari 3 mwaka huu, jeshi la kigaidi la Marekani kwa amri ya Rais wa nchi hiyo Donald Trump lilitenda jinai kwa kumuua kidhulma Luteni Jenerali Qassem Soleimani aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran akiwa uraiani nchini Iraq tena akiwa mgeni rasmi wa serikali ya Baghdad.
-
Iran yakanusha madai ya kujiri mlipuko katika kituo cha nyuklia
Jul 07, 2020 22:22Shirika la Iran la Nishati ya Atomiki limekanusha madai ya kujiri mlipuko katika kituo cha nyuklia cha Shahidi Rezaei-Nejad kati kati mwa Iran.
-
Zaidi ya watu laki mbili wapata afueni ya corona nchini Iran
Jul 07, 2020 06:36Msemaji wa Wizara ya Afya ya Iran ametangaza kuwa, hadi hivi sasa waathirika laki mbili na saba wa ugonjwa wa COVID-19 au corona humu nchini wamepata afueni na kuruhusiwa kurejea nyumbani kutoka mahospitalini na katika vituo vya afya.
-
Iran na Tunisia zatilia mkazo ulazima wa kustawishwa ushirikiano wa pande mbili
Jul 07, 2020 06:33Balozi wa Iran nchini Tunisia amefanya mazungumzo na waziri wa biashara wa nchi hiyo na pande mbili zimejadiliana njia za kuimarisha na kustawisha uhusiano wa pande mbili hasa wa kiuchumi.
-
Hotuba ya Zarif katika mkutano wa Jukwaa la Meditereniani; sisitizo la ushirikiano wa kimataifa la kukabiliana na mielekeo ya upande mmoja
Jul 07, 2020 05:21Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amehutubia katika mkutano wa Jukwaa la Meditereniani (MED 2020) uliofanyika kwa njia ya intanet Jumatatu ya jana tarehe 6 Julai na kusisitiza juu ya kuweko ushirikiano wa kimataifa kwa ajili ya kukabiliana na mielekeo ya upande mmoja.