-
Spika wa Iran: Utawala wa Kizayuni wa Israel unasambaratika kwa ndani
Jun 24, 2020 22:08Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel umo katika hali ya kusambaratika kutokea ndani.
-
Rouhani: Wakala wa IAEA unapasa kulinda uhuru na kujitawala kwake
Jun 24, 2020 08:45Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria azimio lililotolewa na Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) dhidi ya Iran na kueleza kuwa: Wakala huo unapasa kubakia katika mkondo wake wa kisheria kwa kulinda uhuru kujitawala kwake mkabala na mashinikio ya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Iran, kinara wa mapambano dhidi ya mihadarati duniani
Jun 24, 2020 06:10Mwakilishi wa Ofisi ya Kupambana na Dawa za Kulevya na Jinai ya Umoja wa Mataifa mjini Tehran, Alexander Fedulov, ameipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa jitihada zake kubwa za kupambana na dawa za kulevya. Fedulov ameyasema hayo katika kikao cha wataalamu kilichofanyika kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Mihadarati kilichofanyika kwa njia ya video.
-
Rais Rouhani: Jamhuri ya Kiislamu inawaenzi wanawake
Jun 24, 2020 03:06Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema moja ya fahari za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kuwa inawaruhusu wanawake waendeleze harakati zao katika sekta mbali mbali.
-
Waziri wa Ulinzi wa Iran: 70% ya vipuri vya ndege na helikopta inazalishwa nchini
Jun 23, 2020 23:33Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mafanikio iliyoyapata nchi hii katika kipindi cha miaka 40 iliyopita yamelifanya taifa hili hii leo liwe na uwezo wa kuzalisha zaidi ya asilimia 70 ya vipuri vya ndege na helikopta.
-
Iran inamtazama Trump kama mtenda jinai na si rais, hivyo haitafanya naye mazungumzo
Jun 23, 2020 06:25Waziri wa zamani wa ulinzi wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kamwe haitafanya mazungumzo na Rais Trump wa Marekani kwa sababu inamtazama kama mtenda jinai na si rais wa nchi.
-
Umoja wa Mataifa waipongeza Iran kwa jitihada zake za kupambana na dawa za kulevya
Jun 23, 2020 06:21Mwakilishi wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kukabiliana na Mihadarati na Uhalifu (UNODC) hapa mjini Tehran ameishukuru Iran kwa jitihada zake za kupambana na mihadarati na kusema Iran imechukua hatua kubwa katika kunasa dawa za kulevya.
-
Kupasishwa azimio la Baraza la Haki za Binadamu dhidi ya Iran; utumiaji wa haki za binadamu kama wenzo wa kisiasa
Jun 23, 2020 05:23Kutumiwa suala la haki za binadamu kama wenzo wa kisiasa na kuweko vigezo vya kindumakuwili katika uga huo limebadilika na kuwa jambo la kawaida kabisa.
-
Mousavi: Azimio la haki za binadamu dhidi ya Iran limepasishwa kwa malengo ya kisiasa
Jun 22, 2020 22:04Msemajii wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekutaja kupasishwa azimio kuhusu hali ya haki za binadamu dhidi ya Iran kuwa kumetegemea mitazamo ya kichochezi na inayogongana. Amesema azimio hilo lina malengo ya kisiasa.
-
Kamanda Dehqan: Chokochoko za Marekani dhidi ya Iran zitapata jibu kali
Jun 22, 2020 08:17Mshauri wa Amirijeshi Mkuu wa Majeshi ya Iran katika masuala ya sekta ya viwanda vya ulinzi amesisitiza kuwa, chokochoko zoazote za Marekani dhidi ya Iran katika maji ya Ghuba ya Uajemi zitapata majibu makali kutoka kwa Jamhuri ya Kiislamu.