-
Upinzani wa madola ya Ulaya kwa takwa la Marekani la kuongezwa muda wa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran
Apr 30, 2020 07:35Moja ya vipengee muhimu katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ni kufutwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran baada ya miaka mitano tangu kuanza kutekelezwa makubaliano hayo.
-
Kiongozi Muadhamu: Iran ina nafasi muhimu katika kudhamini usalama wa Ghuba ya Uajemi
Apr 30, 2020 03:46Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina nafasi muhimu katika kuhakikisha kuwa usalama unakuwepo katika eneo la Ghuba ya Uajemi.
-
Iran: Marekani haina hoja ya kisheria ya kuwa mshirika wa JCPOA
Apr 30, 2020 03:33Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema Marekani haina hoja ya kisheria ya kutaka kuwa mshirika wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Makumi ya nchi zawasilisha maombi ya kununua vifaa vya kubaini Corona vilivyoundwa Iran
Apr 29, 2020 22:08Mkuu wa Kamati ya Kielimu ya Idara ya Kitaifa ya Kupambana na virusi vya Corona nchini Iran amesema kuwa nchi 40 zimetuma maombi ya kutaka kununua vifaa vya kubaini Corona ambavyo vimetengenezwa na Shirika la Kielimu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Rais Rouhani aihutubu Marekani; Hii ni Ghuba ya Uajemi si 'Ghuba ya New York'
Apr 29, 2020 08:17Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewahutubu Wamarekani na kuwaambia wanapaswa kutambua kuwa Ghuba ya Uajemi ni njia muhimu ya baharini na eneo la kistratajia linalolindwa na litakaloendelea kulindwa kwa nguvu zote na taifa zima la Iran.
-
Siku ya Kitaifa ya 'Ghuba ya Uajemi', kumbukumbu ya utambulisho wenye kudumu milele
Apr 29, 2020 04:57Ghuba ya Uajemi ni kongwe kama historia ya Iran. Jina Fars yaani Uajemi, limepewa bahari kubwa na ni sisitizo la utambulisho wa kihistoria wa eneo hili.
-
Iran inaongoza duniani katika kunasa dawa za kulevya
Apr 28, 2020 20:20Katibu wa Idara ya Kupambana na Dawa za Kulevya katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema pamoja na kuwepo vikwazo, Iran inaongoza katika kunasa idadi kubwa zaidi ya dawa za kulevya duniani; ambapo katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita imeweza kunasa tani 950 za aina kadhaa za dawa za kulevya.
-
Onyo la vikosi vya ulinzi vya Iran dhidi ya chokochoko za Marekani katika Ghuba ya Uajemi na Lango Bahari la Hormuz
Apr 28, 2020 06:54Uwepo wa jeshi la Marekani katika eneo la Ghuba ya Uajemi, Lango Bahari la Hormuz na katika Bahari ya Oman ni hatua ambayo inatatiza usalama wa eneo hili; na hatua yoyote ile inayokiuka sheria na ambayo ni ya kichochezi itakabiliwa na jibu kali la Iran.
-
Rouhani: Uingiliaji mambo wa Marekani unahatarisha usalama na uthabiti wa eneo
Apr 28, 2020 02:50Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hatua ya Marekani ya kuingilia masuala ya ndani ya nchi za Asia Magharibi imevuruga usalama na uthabiti katika eneo hili.
-
IRGC: Vikwazo vya Marekani havijasimamisha ustawi wa elimu nchini Iran
Apr 27, 2020 21:50Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran IRGC amesema kuwa kurushwa satalaiti ya kijeshi ya Iran iliyopewa jina la Nour-1, katika anga za mbali, kumeonyesha kwamba, vikwazo haramu vya Marekani havijazuia maendeleo ya kielimu nchini Iran.