-
Siku ya Kitaifa ya 'Ghuba ya Uajemi', kumbukumbu ya utambulisho wenye kudumu milele
Apr 29, 2020 04:57Ghuba ya Uajemi ni kongwe kama historia ya Iran. Jina Fars yaani Uajemi, limepewa bahari kubwa na ni sisitizo la utambulisho wa kihistoria wa eneo hili.
-
Iran inaongoza duniani katika kunasa dawa za kulevya
Apr 28, 2020 20:20Katibu wa Idara ya Kupambana na Dawa za Kulevya katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema pamoja na kuwepo vikwazo, Iran inaongoza katika kunasa idadi kubwa zaidi ya dawa za kulevya duniani; ambapo katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita imeweza kunasa tani 950 za aina kadhaa za dawa za kulevya.
-
Onyo la vikosi vya ulinzi vya Iran dhidi ya chokochoko za Marekani katika Ghuba ya Uajemi na Lango Bahari la Hormuz
Apr 28, 2020 06:54Uwepo wa jeshi la Marekani katika eneo la Ghuba ya Uajemi, Lango Bahari la Hormuz na katika Bahari ya Oman ni hatua ambayo inatatiza usalama wa eneo hili; na hatua yoyote ile inayokiuka sheria na ambayo ni ya kichochezi itakabiliwa na jibu kali la Iran.
-
Rouhani: Uingiliaji mambo wa Marekani unahatarisha usalama na uthabiti wa eneo
Apr 28, 2020 02:50Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hatua ya Marekani ya kuingilia masuala ya ndani ya nchi za Asia Magharibi imevuruga usalama na uthabiti katika eneo hili.
-
IRGC: Vikwazo vya Marekani havijasimamisha ustawi wa elimu nchini Iran
Apr 27, 2020 21:50Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran IRGC amesema kuwa kurushwa satalaiti ya kijeshi ya Iran iliyopewa jina la Nour-1, katika anga za mbali, kumeonyesha kwamba, vikwazo haramu vya Marekani havijazuia maendeleo ya kielimu nchini Iran.
-
Zarif: Baada ya kufeli "mashinikizo ya kiwango cha juu" Pompeo anataka kuwa mshirika katika JCPOA
Apr 27, 2020 08:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, uamuzi wa Marekani wa kutaka kurejea katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ni matokeo ya kufeli na kushindwa vibaya siasa za "mashinikizo ya kiwango cha juu" dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Kuzifungia tovuti za kimataifa za vyombo vya habari vya Iran, njama za Marekani zilizoshindwa zamani
Apr 27, 2020 05:39Ikiwa ni katika kuendeleza siasa zake za vikwazo vya kiwango cha juu kabisa, serikali ya Donald Trump huko Marekani si tu imeiwekea Iran vikwazo vikubwa ambavyo havijawahi kushuhudiwa, lakini pia imekuwa ikifanya njama kubwa za kuibana Tehran katika kila upande, ikiwa ni pamoja na upande wa vyombo vya habari, ili kuzuia sauti ya haki ya Jamhuri ya Kiislamu isiwafikie walimwengu.
-
Maeneo ya ibada kufunguliwa karibuni hivi nchini Iran baada ya kufungwa kwa corona
Apr 26, 2020 07:08Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia jinsi maeneo tofauti humu nchini yalivyogawanywa kwa vielelezo tofauti kulingana na maambukizi ya corona ambayo ni maeneo meupe, ya njano na mekundu na kusema kuwa, karibuni hivi maeneo ya ibada kama ya Sala za Ijumaa na jamaa yatafunguliwa katika katika maeneo meupe.
-
Zaidi ya wagonjwa 69 elfu wa corona wapata afya njema nchini Iran
Apr 26, 2020 07:02Wizara ya Afya, Matibabu na Mafunzo ya Tiba ya Iran imetangaza kuwa, hadi hivi sasa waathiriwa 69 elfu na 657 wa ugonjwa wa corona humu nchini wamepata uzima na afya njema na kuruhusiwa kurejea nyumbani kutoka mahospitalini.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi kuhusu udharura wa kutowaogopa maadui wa Uislamu na madola dhalimu
Apr 26, 2020 02:51Njia pekee ya kuinusuru jamii ya wanadamu kuondokana na dhulma, ubaguzi, maonevu, vita, ukosefu wa usalama, na kutoheshimiwa thamani za kiutu ambako kumeshuhudiwa katika kipindi chote cha historia, ni kufuata kivitendo mafundisho ya Qurani Tukufu.