-
Zaidi ya wagonjwa 69 elfu wa corona wapata afya njema nchini Iran
Apr 26, 2020 07:02Wizara ya Afya, Matibabu na Mafunzo ya Tiba ya Iran imetangaza kuwa, hadi hivi sasa waathiriwa 69 elfu na 657 wa ugonjwa wa corona humu nchini wamepata uzima na afya njema na kuruhusiwa kurejea nyumbani kutoka mahospitalini.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi kuhusu udharura wa kutowaogopa maadui wa Uislamu na madola dhalimu
Apr 26, 2020 02:51Njia pekee ya kuinusuru jamii ya wanadamu kuondokana na dhulma, ubaguzi, maonevu, vita, ukosefu wa usalama, na kutoheshimiwa thamani za kiutu ambako kumeshuhudiwa katika kipindi chote cha historia, ni kufuata kivitendo mafundisho ya Qurani Tukufu.
-
Kiongozi Muadhamu: Kutomuogopa adui, ni katika mafundisho muhimu ya Qurani
Apr 25, 2020 22:13Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kutomuogopa adui na kusimama kidete dhidi yake ni katika maamrisho na maelekezo muhimu ya Qurani Tukufu.
-
Iran, nchi yenye uwezo mkubwa katika masuala ya afya
Apr 25, 2020 21:40Shirika la Afya Duniani (WHO) linaitambua Iran kama nchi yenye uwezo mkubwa katika masuala ya afya na ina mawasiliano na ushirikiano mazuri sana, mkubwa na dhati na shirika hilo kuhusu ugonjwa wa Covid-19.
-
Kiongozi Muadhamu atuma salamu za rambi rambi kufuatia kuaga dunia Ayatullah Amini
Apr 25, 2020 06:19Ayatullah Sayyed Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma salamu za rambi rambi kufuatia kuaga dunia mwanazuoni mujahid na mwanamapinduzi marhum Ayatullah Ibrahimi Amini ambaye pia alikuwa mwanachama wa Baraza la Wanazuoni Wanaomchagua Kiongozi Muadhamu.
-
Rouhani: Iran inafuatilia kwa karibu sana nyendo za Marekani
Apr 25, 2020 06:05Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran inafuatilia kwa karibu sana nyendo za Marekani na kuongeza kuwa: "Iran katu haitakuwa muanzishaji wa taharuki na mapigano katika eneo."
-
Setilaiti ya Nour; mdhamini wa maslahi ya amani ya Iran katika anga za mbali
Apr 24, 2020 23:33Kurushwa kwa mafanikio katika anga za mbali setilaiti ya Nour-1 kupitia kombora la kurushia setilaiti la Qased, na setilaiti hiyo kuanza kufanya kazi zake huko, ni suala ambalo limekabiliwa na radiamali ya kisiasa na madai ya kukaririwa na yasiyo na msingi ya Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya.
-
Idadi ya waliopona baada ya kuugua COVID-19 nchini Iran wapindukia 66,000
Apr 24, 2020 10:43Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu ya Iran imetangaza kuwa, hadi kufikia mchana wa leo Ijumaa watu 66,596 miongoni mwa walioambukizwa virusi vya corona wamepata afueni na kuruhusiwa kutoka hospitali.
-
Zarif: Marekani na Ulaya haziwezi kuipa mawaidha Iran kuhusu azimio la Baraza la Usalama la UN
Apr 24, 2020 10:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Marekani na Ulaya haziwezi kuipa mawaidha Iran kwa kutumia tafsiri ghalati na isiyo na msingi kuhusu utekelezaji wa azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Setilaiti ya Nour; dhihirisho la nguvu za Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika anga za mbali
Apr 24, 2020 03:21Setilaiti ya kijeshi ya kwanza ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yenye malengo ya ulinzi na amani imerushwa kwa mafanikio katika anga za mbali na Kikosi cha Anga na Anga za Mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Sepah.