-
Majeshi ya Iran kuanza oparesheni ya kuwaondoa watu mitaani katika vita dhidi ya Corona
Mar 14, 2020 04:33Majeshi ya Iran yanatazamiwa kuanza oparesheni ya kuwaondoa watu mitaani, barabarani na kuhakikisha maduka yanafungwa katika kipindi cha masaa 24 yajayo ikiwa ni katika hatua za kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19 maarufu kama corona.
-
Mousavi: Marekani haina hadhi ya kuzungumzia masuala ya haki za binadamu
Mar 13, 2020 23:33Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amejibu ripoti ya kila mwaka ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani kuhusiana na hali ya haki za binadamu nchini Iran na kusema kuwa, utawala wa Marekani haustahiki wala hauna hadhi ya kisiasa, kisheria na kimaadili ya kutoa maoni kuhusu masuala yanayohusiana na haki za binadamu.
-
Iran yaionya Marekani kwa kutoa madai 'hatari' dhidi yake
Mar 13, 2020 09:22Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani inapaswa kuangali upya uwepo wa vikosi vyake vamizi katika eneo la Asia Magharibi badala ya kuibua tuhuma zisizo na msingi wowote dhidi ya mataifa mengine.
-
Mashinikizo ya juu kabisa ya Marekani dhidi ya Iran wakati wa vita dhidi ya virusi vya corona
Mar 12, 2020 23:19Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: "Madai ya wakuu wa Marekani kuwa kuna njia za kuifikishia Iran dawa ni urongo mtupu."
-
Kingozi Muadhamu aamuru Jeshi la Iran liunde kituo maalumu cha vita dhidi ya Corona
Mar 12, 2020 23:09Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Alhamisi usiku alitoa amri kwa Meja Jenerali Mohammad Baqeri Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kutaka kamandi hiyo iunde 'Kituo cha Afya na Matibabu' kwa lengo la kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19 ambao ni maarufu kama virusi vya Corona.
-
Watu zaidi ya elfu tatu walioambukizwa kirusi cha corona wapona nchini Iran
Mar 12, 2020 12:19Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu ya Iran imetangaza kuwa hadi sasa watu 3,276 walioambukizwa kirusi cha corona wamepata nafuu na kuruhusiwa kutoka hospitali.
-
Zarif asisitiza udharura wa kuondolewa vikwazo vyote haramu vya Marekani dhidi ya Iran
Mar 12, 2020 11:58Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif, amemwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres akisisitiza ulazima wa kuondolewa vikwazo haramu vya upande mmoja ilivyoekewa Iran na Marekani.
-
Abbas Mousavi: Serikali ya Uingereza haina haki ya kuipangia mambo Iran
Mar 11, 2020 23:13Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Uingereza haiko katika nafasi ya kutaka kuipangia mambo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Wanafunzi na wananchi wa Iran waitaka serikali ya India izuie mauaji dhidi ya Waislamu
Mar 11, 2020 23:12Wanafunzi na raia wapatao 20,000 nchini Iran wametia saini barua inayoitaka serikali ya India isitishe mauaji yanayofanywa na wahindu dhidi ya Waislamu wa nchi hiyo.
-
Kuwa tayari kikamilifu Iran katika kudhibiti ugonjwa wa COVID-19
Mar 11, 2020 10:29Richar Brennan, Mkuu wa Ujumbe wa Shirika la Afya Duniani (WHO) uliotumwa hapa Iran alisema jana Jumanne baada ya kutembelea vituo kadha vya matibabu mjini Tehran kwamba nguzo muhimu za kudhibiti magonjwa ya kuambukiza hususan virusi vya corona ni ushirikiano baina ya taasisi husika na wananchi na jambo hilo linaonekana kwa uwazi kabisa nchini Iran.