-
Rouhani: Madaktari na wauguzi wako mstari wa mbele katika mapambano dhidi ya corona
Mar 11, 2020 04:03Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana usiku alipongeza hatua ya kujitolea na jitihada za usiku na mchana za wafanyakazi wa sekta ya afya na tiba wa Iran na kusisitiza kuwa madaktari na wauguzi wako mstari wa mbele katika mapambano ya kutokomeza virusi vya corona.
-
Watu karibu 3,000 wamepona Corona nchini Iran
Mar 11, 2020 01:11Wizara ya Afya ya Iran imetangaza kuwa hadi sasa watu 2,731 waliokuwa wameambukizwa ugonjwa wa COVID-19, maarufu kama Corona, nchini Iran wamepona na kuruhusiwa kurejea nyumbani baada ya kupokea matibabu hospitalini.
-
Kiongozi Muadhamu: Wafanyakazi wa sekta ya afya wanaofariki katika vita dhidi ya Corona ni mashahidi
Mar 11, 2020 01:03Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameafiki pendekezo kuwa, wafanyakazi wa sekta ya afya wanaofariki wakiwa katika mstari wa mbele wa kupambana na ugonjwa wa COVID-19 maarufu kama Corona wahesabiwe kuwa ni mashahidi.
-
Iran yaanza majaribio ya dawa na kubaini na kutibu Corona
Mar 10, 2020 08:58Mjumbe wa "Kamati ya Sayansi ya COVID-19 Iran" amesema kuwa makampuni mawili ya masuala ya sayansi hapa nchini yameanza majaribio ya dawa ya kubaini na kutibu watu waliopatwa na virusi vya Corona.
-
Wananchi wa Iran hawatasahau vikwazo vya kidhalimu vya Marekani katika siku hizi
Mar 10, 2020 08:53Madai ya serikali ya Marekani kuhusiana na kutokuweko mbinyo na mipaka dhidi ya Iran kwa ajili ya kuingiza dawa na chakula ni urongo mkubwa.
-
Wanafunzi wa Iran walaani mauaji ya Waislamu nchini India
Mar 10, 2020 04:49Vyama vya Kiislamu vya Wanafunzi wa Iran vimelaani vikali mauaji na hujuma za kinyama wanazofanyiwa Waislamu nchini India.
-
Waathirika 2394 wa virusi vya Corona nchini Iran, wamepona hadi sasa
Mar 09, 2020 10:38Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Udaktari ya Iran imetangaza kuwa, hadi sasa watu 2394 waliokuwa wameathirika na virusi vya Corona, wamepona na kuruhusiwa kutoka hospitali.
-
Jibu kali la Iran kwa magaidi katika mipaka ya mashariki mwa nchi
Mar 09, 2020 08:36Vyombo vya usalama katika mkoa wa Sistan Baluchestan, kusini mashariki mwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vimetangaza habari ya kufichuliwa na kusambaratishwa magaidi wa kundi la Jeshi la Dhulma katika eneo hilo.
-
Ugaidi wa kimatibabu wa Marekani katika kilele cha vita dhidi ya Corona nchini Iran
Mar 09, 2020 04:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: "Dunia haiwezi tena kubakia kimya wakati 'ugaidi wa kiuchumi' wa Marekani sasa umeunganishwa na 'ugaidi wa kimatibabu' dhidi ya taifa la Iran."
-
Vikosi vya usalama vya Iran vyatoa pigo kali dhidi ya kundi la kigaidi la 'Jeish Al-Dhulm'
Mar 08, 2020 23:26Idara Kuu ya Habari ya Mkoa wa Sistan na Baluchestan kusini mashariki mwa Iran, imeelezea habari ya kugunduliwa na kusambaratishwa timu ya kigaidi yenye mfungamano na kundi la kigaidi la 'Jeish Al-Dhulm.'