-
Kiongozi Muadhamu apongeza jitihada za wahudumu wa afya nchini za kupambana na Corona
Feb 27, 2020 09:34Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amepongeza jitihada zinazofanywa na maafisa na wahudumu wa afya hapa nchini kwa ajili ya kupambana na virusi vya Corona.
-
Hemmati: Iran ina uhusiano wa kimataifa wa kibenki usioweza kuwekewa vikwazo
Feb 27, 2020 09:37Gavana wa Benki Kuu ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu imebuni uhusiano wa kibenki wa kimataifa usioweza kuwekewa vikwazo na wala usiohusiana na jopokazi la eti kupambana na utakatishaji wa fedha chafu linalojulikana kwa kimombo kama Financial Action Task Force (FATF).
-
Rais Rouhani: Marekani ifikirie maelfu ya watu waliofariki nchini humo kwa homa ya mafua
Feb 26, 2020 09:13Kufuatia matamshi ya kuingilia masuala ya ndani ya Iran yaliyotolewa na viongozi wa Marekani, Rais Hassan Rouhani amesema: Marekani inapasa ishughulishwe na kufikiria maelfu ya watu waliofariki nchini humo kutokana na homa ya mafua.
-
Zarif: Trump amekiri kuwa Iran inalichukia kundi la ISIS
Feb 26, 2020 04:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema Rais Donald Trump wa Marekani amekiri kuwa askari wa Marekani wako nchini Syria kwa ajili ya kupora mafuta ya nchi hiyo na kwamba Iran inalichukia kundi la kigaidi la ISIS.
-
Shamkhani: Kirusi cha Corona kinatumika kuzidisha mashinikizo dhidi ya Iran
Feb 26, 2020 03:54Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran ameashiria njama mpya dhidi ya Iran kwa kisingizio cha kirusi cha Corona na kusema: "Imepengwa kuwa stratijia ya mashinikizo ya juu kabisa dhidi ya Iran ikamilishwe kwa kirusi cha Corona."
-
Rouhani: Iran imejipanga vizuri kukabiliana na virusi vya Corona
Feb 26, 2020 01:03Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu amesema kuwa Iran imejitayarisha kikamilifu kwa ajili ya kupambana na virusi vya Corona na kwamba mahospitali yote hapa nchini yana vifaa vya kutosha vya kukabiliana na virusi hivyo.
-
Nchi zinazoweka vikwazo vya dawa hazistahiki kuwa wanachama wa Baraza la Haki za Binadamu
Feb 26, 2020 01:01Akazungumza hivi karibuni katika kikao cha 43 cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, Ali Baqeri Kani, Katibu wa Kitengo cha Haki za Binadamu cha Mahakama za Jamhuri ya Kiislamu amesema kuwa nchi zinazotekeleza vikwazo vya dawa hazina haki ya kuwa wanachama wa baraza hilo.
-
Naibu Waziri wa Afya wa Iran apatwa na Corona, asema nchi itashinda virusi hivyo wiki chache zijazo
Feb 25, 2020 12:18Naibu Waziri wa Afya wa Iran amethibitisha kuwa amepatwa na virusi vya Corona lakini amesisitiza kuwa, nchi hii itashinda janga la virusi hivyo wiki chache zijazo.
-
Nchi zilizoliwekea taifa la Iran vikwazo vya madawa ni katili
Feb 25, 2020 04:26Mkuu wa Baraza la Haki za Binadamu la Idara ya Mahakama ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi ambazo zinazuia madawa kuingia hapa nchini ni katili na wauaji wa binadamu.
-
Watu waliopoteza maisha kwa Corona nchini Iran wafikia 12
Feb 24, 2020 08:47Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Matibabu ya Iran imetangaza habari ya kuongezeka idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na virusi vya Corona humu nchini.