-
Rouhani: Iran inaendelea kustawi licha ya njama za maadui
Feb 11, 2020 08:48Rais Hassan Rouhani amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaendelea kustawi na kuimarika licha ya uhasama na njama za maadui hususan Marekani, na kwamba 'Mapinduzi ya Kiislamu' lilikuwa chaguo la taifa zima la Iran.
-
Taifa la Iran laadhimisha miaka 41 ya Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 11, 2020 08:39Mamilioni ya wananchi wa Iran wamejitokeza mabarabarani katika miji na vijiji vya nchi hii kushiriki matembezi ya Bahman 22, kwa mnasaba wa kutimia mwaka wa 41 wa Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
22 Bahman; kuwa pamoja wananchi wa Iran na Mapinduzi ya Kiislamu, siri ya kudumu mapinduzi haya
Feb 11, 2020 07:07Jumanne ya leo iliyosadifiana na maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu, kwa mara nyingine tena wananchi wa Iran wamejitokeza kwa wingi katika matembezi ya maadhimisho ya miaka 41 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kuonyesha mchango na nafasi yao athirifu kwa mapinduzi haya.
-
Palestina yaishukuru Iran kutokana na misimamo yake chanya katika kutetea taifa hilo
Feb 11, 2020 04:05Balozi wa Palestina mjini tehran amepongeza misimamo imara na tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusu haki za taifa hilo hususan msimamo wake wa kupinga mpango wa Marekani wa Muamala wa Karne.
-
Huku Iran ikizizima kwa Takbira (Allahu Akbar), matembezi ya mwaka 41 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu yaanza
Feb 11, 2020 03:42Nara ya 'Mungu ni Mkubwa' (Allahu Akbar) ilisikika jana usiku katika pembe zote za Iran kwa mnasaba wa kutimia mwaka wa 41 wa Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Salehi: Iran haitalegeza msimamo katika kulinda usalama wake
Feb 11, 2020 01:14Mkuu wa Shirika la Atomiki la Iran amehutubu katika Kikao cha Kila Miaka Miwili cha Usalama wa Nyuklia mjini Vienna, Austria na kusema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitalegeza msimamo katika kulinda usalama wake.
-
Utawala wa Israel wamfunga jela kiongozi wa Harakati ya Kiislamu
Feb 11, 2020 01:14Mahakama ya utawala haramu wa Israel imemfunga jela kiongozi wa Harakati ya Kiislamu, Sheikh Raed Salah, kwa miezi 28 kwa tuhuma za 'kuchochea ugaidi'.
-
Sisitizo la Mkuu wa Majeshi ya Iran kuhusu kujiimarisha zaidi kiulinzi mbele ya adui
Feb 11, 2020 01:13Meja Jenerali Mohammad Baqeri, Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Iran ametoa ujumbe maalumu kwa mnasaba wa maadhimisho ya miaka 41 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kutilia mkazo azma ya Jamhuri ya Kiislamu ya kuendelea kujiimarisha kiulinzi mbele ya adui.
-
Rais Rouhani: Vikwazo vya kidhalimu vya Marekani ni ugaidi dhidi ya taifa la Iran
Feb 10, 2020 11:32Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema vikwazo vya kidhalimu vya Marekani ni kitendo cha ugaidi dhidi ya taifa lote la Iran.
-
Velayati: Mapinduzi ya Kiislamu yamepiga hatua kubwa ndani ya miaka 40
Feb 10, 2020 09:19Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, taifa hili limepata mafanikio mengi katika nyuga za kisiasa, kiuchumi na kijamii ndani ya miongo minne ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.