-
Imani na kumtegemea Mwenyezi Mungu; siri ya ushindi na kudumu Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran
Feb 01, 2020 03:25Ni matumaini kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Alfajiri Kumi, ambacho ni kipindi cha tangu kurejea Imam Khomeini kutoka uhamishoni hadi kupatikana ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Iran yautaka ulimwengu ushirikiane na China katika kukabiliana na virusi vya Corona
Feb 01, 2020 01:20Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitakka jamii ya kimataifa ishirikiane na serikali ya China katika kukabiliana na virusi hatari vya Corona.
-
Kuvuka sekta ya nyuklia ya Iran vikwazo haramu na vya kidhalimu vya Marekani
Jan 31, 2020 21:46Wizara ya Fedha ya Marekani imeendeleza sera zake za ukiukaji sheria, zilizofeli na kugonga mwamba kwa kumwekea vikwazo Ali Akbar Salehi, Makamu wa Rais na Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI).
-
Araqchi: Sera za Marekani za mashinikizo ya juu kabisa dhidi ya Iran zimegonga mwamba
Jan 31, 2020 21:46Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameashiria vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusema: "Hatua hii inathibitisha tu hasira na kukata tamaa Marekani kutokana na kugonga mwamba sera zake za mashinikizo ya juu zaidi dhidi ya Iran."
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Muamala wa Karne utafeli tu
Jan 31, 2020 08:53Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran ameilaani Marekani kwa kuanzisha njama mpya dhidi ya Waislamu kwa jina la "Muamala wa Karne" na kusema kuwa, njama hizo zitafeli na kushindwa tu.
-
Mousavi: Misaada imeanza kutolewa kwa Wairani walioko maeneo yaliyoathiriwa na virusi vya Corona huko China
Jan 31, 2020 03:47Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa wanafanya juhudi kwa kuwasiliana na serikali ya China ili kuwarejesha nchini wanavyuo na Wairani wengine wanaoishi huko China.
-
Ali Akbar Velayati: Wazayuni na Wamarekani wataondoka eneo la Asia Magharibi
Jan 30, 2020 23:11Ali Akbar Velayati, Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema kuwa Muamala wa Karne ni mpango wa kuziuza na kuzigawa ardhi za Waislamu na kuongeza kuwa, hatua hiyo ya Rais Trump wa Marekani na Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Utawala Khabithi wa Israel ni mwendelezo wa Vita vya Msalaba.
-
Kiongozi Muadhamu: Muamala wa Karne kamwe hautazaa matunda
Jan 30, 2020 10:09Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema pendekezo la Marekani lililopewa jina la 'Muamala wa Karne' katu halitazaa matunda kwa Rehema za Mwenyezi Mungu.
-
Rais Rouhani: Muamala wa Karne ni mpango muovu kabisa wa karne
Jan 30, 2020 04:29Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran usiku wa kuamkia leo amesema kuwa, mpango wa Marekani wa Muamala wa Karne ni mpango muovu kabisa wa karne.
-
Iran yaitaka serikali ya Ufaransa iache kukandamiza raia wanaoandamana
Jan 30, 2020 03:39Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran usiku wa kuamkia leo imeitaka serikali na polisi wa Ufaransa waache kukandamiza waandamanaji nchini humo.