-
Rais Rouhani: Muamala wa Karne ni mpango muovu kabisa wa karne
Jan 30, 2020 04:29Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran usiku wa kuamkia leo amesema kuwa, mpango wa Marekani wa Muamala wa Karne ni mpango muovu kabisa wa karne.
-
Iran yaitaka serikali ya Ufaransa iache kukandamiza raia wanaoandamana
Jan 30, 2020 03:39Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran usiku wa kuamkia leo imeitaka serikali na polisi wa Ufaransa waache kukandamiza waandamanaji nchini humo.
-
Russia: Hakuna haja ya kufanya makubaliano mapya na Iran
Jan 29, 2020 23:06Mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Wakala wa Kimataifa wa Niashati ya Atomiki (IAEA) amesema kuwa Moscow inaamini kwamba hakuna haja ya kufanyika makubaliano mapya ya nyuklia na Iran, na badala yake mapatano ya JCPOA ni lazima yatekelezwe.
-
Spika wa Bunge lran asisitiza udharura wa kukabiliana na "Muamala wa Karne"
Jan 29, 2020 10:08Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ametoa wito wa kukabiliana na mpango bandia wa Rais Donald Trump uliopewsa jina la "Muamala wa Karne" na kutatuliwa mgogoro wa Palestina kwa kutumia njia ya kura ya maoni na udiplomasia wa kibunge.
-
Iran yaghariki kwenye dimbwi la majonzi ya kuomboleza kufa shahidi Bibi Fatimatu-Zahra (SA)
Jan 29, 2020 04:44Umati mkubwa wa wananchi Waislamu wa Iran leo umeshiriki nchini kote kwenye maombolezo ya kukumbuka siku aliyokufa shahidi Bibi Fatimatu-Zahra (SA) binti kipenzi wa Bwana Mtume Muhammad SAW na mke wa Amirul Muuminin Ali bin Abi Talib (as), Imamu wa kwanza wa Waislamu wa madhehebu ya Shia.
-
Iran: "Muamala wa Karne" ni "Usaliti wa Karne"
Jan 29, 2020 00:15Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, mpango wa ulazimishaji wa Marekani uitwao Muamala wa Karne ni Usaliti wa Karne dhidi ya haki za watu wa Palestina; na akasisitiza kuwa, mpango huo wa amani wa kuaibisha na wa ulazimishaji wa Marekani kwa Wapalestina utafeli na kugonga mwamba tu.
-
Iran imevunja ukiritimba wa urushaji satalaiti katika anga za mbali
Jan 28, 2020 21:58Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeweza kupata uwezo wa kurusha satalaiti zake katika anga za mbali pamoja na kuwepo vikwazo vya madola makubwa.
-
Rouhani: Watu wa Asia Magharibi watakabiliana na dhulma za Marekani
Jan 28, 2020 08:21Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema wananchi wa nchi za eneo la Asia Magharibi watakabiliana na dhulma na ubeberu wa Marekani.
-
Kikao cha pili cha Kamisheni Kuu ya Pamoja ya Ushirikiano wa Kibunge ya Iran na Russia; mkutano wenye lengo la ushirikiano wa kiistratijia
Jan 28, 2020 08:01Kikao cha pili cha Kamisheni Kuu ya Pamoja ya Ushirikiano wa Kibunge kati ya Iran na Russia kilifanyika Jumatatu ya jana hapa mjini Tehran kwa kuhudhuriwa na Ali Larijani, Spika wa Bunge la Iran na Vyacheslav Volodin, Spika wa Bunge la Russia (Duma).
-
Zarif: Muamala wa Karne wa Donald Trump utavia tumboni
Jan 27, 2020 23:40Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, ndoto za rais wa Marekani za kufanikisha mpango wake wa "Muamala wa Karne" hazitatimia na kwamba mpango huo utavia tumboni.