-
Zarif: Muamala wa Karne wa Donald Trump utavia tumboni
Jan 27, 2020 23:40Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, ndoto za rais wa Marekani za kufanikisha mpango wake wa "Muamala wa Karne" hazitatimia na kwamba mpango huo utavia tumboni.
-
Meja Jenerali Salami: Marekani itajuta kutoa vitisho dhidi ya makamanda wa SEPAH
Jan 27, 2020 23:17Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, Marekani inapaswa ichunge hatua inazochukua na akasisitiza kuwa: Wale ambao wametishia kuwaua kigaidi makamanda wa Iran, kama watabaki hai, bila shaka watajuta tu.
-
Sisitizo la Iran na Oman la kuzidi kushirikiana kudhamini kwa pamoja usalama wa baharini na wa nishati
Jan 27, 2020 23:16Yusuf bin Alawi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman juzi Jumapili alipitia hapa Tehran wakati akirejea nyumbani kutoka katika kikao cha Davos Uswisi na alionana na waziri mwenzake wa Iran, Mohammad Javad Zarif na kujadiliana masuala ya pande mbili, ya kieneo na ya kimataifa.
-
Rais Rouhani: Umoja wa Wairani umewezesha kushinda njama za Marekani
Jan 27, 2020 08:55Rais Hassan Rouhani amesema, Marekani ilijitoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na ikamuua kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, kamanda wa kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa lengo la kutaka Iran itengwe, hata hivyo umoja na mshikamano wa wananchi wa Iran umewezesha kushindwa na kugonga mwamba njama hizo za Marekani.
-
Woga wa nchi za Ulaya wa kukabiliana na ubeberu wa Marekani
Jan 27, 2020 07:36Dakta Mohammad Javad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema katika mahojiano aliyofanyiwa na gazeti la kila wiki la Der Spiegel la nchini Ujerumani kwamba kitendo cha nchi za Ulaya cha kutii kibubusa amri za Marekani ni janga na maafa.
-
Zarif: Matumaini ya Trump ya kufanya mazungumzo na Iran, ni ndoto
Jan 27, 2020 01:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Mohammad Javad Zarif ameandika katika mtandao wa kijamii wa Twitter akimuhutubu Rais Donald Trump wa Marekani kwamba, juhudi za Washington za kufanyika mazungumzo ya pande mbili na Tehran ni ndoto za alinacha.
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu kwa kongamano la 54 la Umoja wa Jumuiya za Kiislamu za Wanachuo barani Ulaya, sisitizo la viashiria vya adhama na itibari ya Iran ya Kiislamu
Jan 26, 2020 09:01Katika ujumbe wake kwa mkutano wa 54 wa Umoja wa Jumuiya za Kiislamu za Wanachuo barani Ulaya, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema: "Kikao chenu cha mwaka huu kinafanyika katika anga ya matukio muhimu, ambapo kila moja linaonyesha adhama na itibari ya Iran ya Kiislamu na taifa lake la kimapinduzi."
-
Dakta Zarif: Hatua ya madola ya Ulaya ya kuitii kibubusa Marekani ni maafa
Jan 25, 2020 23:24Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hatua ya madola ya Ulaya ya kuitii kibubusa Marekani ni maafa na kueleza kwamba, madola ya ulaya hayana ubavu wa kumpinga Rais Donald Trump wa Marekani.
-
Kiongozi Muadhamu atuma ujumbe kwa Kikao cha 54 cha Umoja wa Jumuia za Kiislamu za Wanachuo wa Ulaya
Jan 25, 2020 08:10Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma ujumbe kwa Kikao cha 54 cha Umoja wa Jumuia za Kiislamu za Wanachuo wa Ulaya akiwasisitizia kwamba, kikao chao mwaka huu kinafanyika baada ya kutokea matukio muhimu na kila moja ya matukio hayo linaonesha ukubwa na itibari ya Iran ya Kiislamu na taifa la kimapinduzi.
-
Iran yatoa mkono wa pole kufuatia tetemeko kubwa la ardhi nchini Uturuki
Jan 25, 2020 08:09Msemaji wa Wizara ya mambo ya Nje ya Iran ameelezea kusikitishwa sana na mtetemeko mkubwa wa ardhi uliotokea nchini Uturuki na ametoa mkono wa pole kwa serikali na wananchi wa nchi hiyo na wote walioathiriwa na tukio hilo la kimaumbile.