-
Matokeo hasi ya chokochoko za Marekani Asia Magharibi
Jan 23, 2020 23:22Mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa hatua na chokochoko za kijeshi zinazofanywa na Marekani katika eneo la Asia Magharibi, ndio chanzo cha machafuko ndani ya eneo hilo na ameongeza kuwa, uthibitisho wa mwisho wa jambo hilo ni kumuua kigaidi Luteni Qassem Soleimani katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Baghadad, Iraq.
-
Zarif: Iran ingaliko tayari kufanya mazungumzo na majirani zake
Jan 23, 2020 08:10Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaunga mkono mazungumzo baina ya nchi za eneo kwa lengo la kuleta uthabiti na ustawi wa pamoja na kurejesha matumaini katika mataifa ya Asia Magharibi.
-
Iran: Kujitoa Marekani hakutushughulishi, kama Ulaya wataheshimu JCPOA nasi tutaheshimu
Jan 22, 2020 22:58Mkuu wa Ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, nchi zinazounda kundi la 4+1 katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA zinapaswa kuheshimu vilivyo makubaliano hayo na kama nchi za Ulaya zitaheshimu vipengee vya mapatano hayo, Tehran nayo bila ya shaka yoyote itaheshimu.
-
Tehran: Tutazidi kuwa imara baada ya mauaji ya Luteni Soleimani
Jan 22, 2020 22:58Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, kitendo cha adui cha kumuua kidhulma Luteni Jenerali Qassem Soleimani kilikusudia kupunguza ushawishi wa Iran katika eneo hili lakini Tehran itakuwa imara zaidi na itakuwa na ushawishi mkubwa zaidi baada ya mauaji hayo ya kigaidi.
-
Zarif aziasa nchi za Ulaya kusimama kidete mkabala wa vitisho vya Trump
Jan 22, 2020 09:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema hatua ya Marekani ya kutoa vitisho vipya vya kuziwekea nchi za Ulaya ushuru mpya wa kibishara inadhihirisha kuwa, kutumbukia nchi za EU kwenye mtego wa Rais Donald Trump kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kumekuwa na maslahi zaidi kwa kiongozi huyo wa Marekani na sio kwa nchi hizo za Ulaya.
-
Rouhani: Wananchi ni chanzo halisi cha nguvu na uwezo wa Iran
Jan 22, 2020 09:08Rais Hassan Rouhani amesema wananchi wa Iran ndio chimbuko la kweli na halisi la nguvu na uwezo mkubwa wa taifa hili.
-
Iran imeuza nje ya nchi bidhaa zenye thamani ya dola bilioni 32
Jan 21, 2020 21:34Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanikiwa kuuza nje ya nchi bidhaa zenye thamani ya dola bilioni 32 katika kipindi cha mwaka huu wa Hijria Shamsia ambao unatazamiwa kumalizika Machi 21 2020.
-
Rais Rouhani atilia mkazo kuimarishwa ushirikiano na nchi mbalimbali za dunia
Jan 21, 2020 08:32Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza ulazima wa kuimarishwa ushirikiano wa kiuchumi, kiutamaduni na kielimu kati ya Iran na nchi mbalimbali za dunia.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la kutumiwa fursa ya Hija kwa ajili ya kuwafikishia walimwengu ujumbe mpya wa Jamhuri ya Kiislamu
Jan 21, 2020 07:23Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza juu ya ulazima wa kutumiwa fursa ya ibada ya Hija kwa ajili ya kuwafikishia walimwengu ujumbe mpya wa Jamhuri ya Kiislamu yaani kiigizo chema cha demokrasia ya kidini yenye ridhaa ya wananchi.
-
Amir Hatami: Iran itatumia nguvu na uwezo wake wa ndani kuzima tishio lolote
Jan 21, 2020 04:14Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili litatumia nguvu na uwezo wake wa ndani katika kujibu tishio lolote dhidi yake na katika ngazi zote.